Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

Mgonjwa akiona hii taarifa,anaingiwa na hofu,matokeo yake anaweza akafa kwa presha.
Kwanini afe wakati yuko hospitali sahihi? Hii Social Media ni sawa na Mainstream Media tu hivyo hata huko Mainstream Media pia angeweza kusoma kama habari ingeripotiwa, tunawaombea wapone haraka wapigakura wasipungue 2024-2025.
 
Tujadili kupata uelewa mpana.

Kumezuka mtazamo hasi unaoshika kasi ya kusambaa kwenye jamii pana kama moto wa nyika ambapo ndugu za wagonjwa na wagonjwa wenyewe wamejenga dhana hasi juu ya huduma za tiba, uuguzi na uchunguzi zinazotolewa na Hospitali ya Mafunzo ya Muhimbili-Mloganzila.

Unaweza kusikia haya kwenye jamii yakihojiwa:-

Amepewa rufaa!!??

Ndiyo.

Kwenda wapi!!?

Eti Mloganzila!!

Uuuwiii... Mungu wetu tusaidie...

Huyo harudi... tujihesabie huyo si wetu tena... jamani lakini kwanini hivi?

Wamewapa sababu gani ya kumpeleka Mloganzila!!?? Kwani mmeshindwa bei MNH?

Hapana, eti wanasema wagonjwa wamejaa MNH hakuna nafasi.

Maskiniii... kwani hatuwezi kuungana tukachangishana tumtoe huko tumpeleke hospitali binafsi bora mara 100?

Sijui mwenzenu mie nimechanganyikiwa mazima sijui cha kufanya, nawaza mengi bila majibu.

NB.
Hiyo hapo juu ni taswira halisi inayojengeka kwenye jamii kuhusu Hospitali ya Mafunzo ya Muhimbili-Mloganzila.

Maswali:-
1. Rufaa inatokaje hospitali kuu ya taifa kwenda hospitali ndogo ya mafunzo? Rufaa za kimatibabu zinapanda juu hazishuki chini kwa mujibu wa itifaki ya tiba.

2. Hospitali ya Mafunzo inakosaje (inasajiliwaje) bila kuwa na madaktari bingwa wanaopaswa kuwepo hospitalini full time?

3. Ni uwiano gani wa wagonjwa mahututi wanapona na wasiopona?

4. No. 3 hapo juu ni asilimia ngapi?

5. Wakati MUCHS inafundisha wanafunzi wa udaktari na uuguzi MNH (kabla ya Mloganzila) No. 3 na 4 takwimu zilikuwaje?

6. Wakati MUCHS iko MNH je, dhana hasi ya wagonjwa na ndugu zao kuogopa kufa kwa kigezo cha matibabu-mafunzo ilishamiri?

7. Unadhani nini kifanyike kuondoa dhana hasi hii na kurejesha matumaini yaliyotoweka ya wagonjwa na ndugu zao kwa Mloganzila kama siyo jamii nzima?

8. Kwanini viongozi na matajiri hawapewi rufaa kwenda Hospitali ya Mafunzo ya Muhimbili-Mloganzila ilhali madaktari bingwa na wauguzi bingwa wanapangiwa kufanya tiba-mafunzo pale?

9. Ina maana Hospitali ya Mafunzo ya Muhimbili-Mloganzila ni ya makabwela ambao ndiyo roho zao zinatumika kufundishia?

10. Inakuwaje mfano wagonjwa wa saratani wanalazwa Hospitali ya Mafunzo ya Muhimbili-Mloganzila wakati vifaatiba vya teknolojia ya hali ya juu viko Hospitali-bobezi ya Saratani Ocean Road ambayo ni Hospitali bingwa pekee ya Saratani EAC, Shoroba za Kusini mwa Afrika na Afrika ya Kati.

NB.
Jamii itapomaliza mjadala na kujipatia plan B yafuatayo yatajiri:-

1. Hospitali binafsi zitatajirika.

2. Hospitali ya Mafunzo ya Muhimbili-Mloganzila itakosa wagonjwa wa kufundishia na itakuwa inawatafuta hospitali binafsi kwa gharama kubwa.

3. Viwango vya mafunzo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila vitashuka ubora.

Tujadili.
Kwani hujawahi ona kibao pale SAME cha kutahadharisha upepo wenye kasi kubwa? Hujawahi ona eneo limeandikwa ACCIDENT PRONE AREA, SLOW DOWN? The same kwa mahospitali, Mloganzila ni DEATH PRONE POINT
 
Naskia pale ni "Road to hell" ndio sabab weng hawataki kupaskia ukienda haurudi tn ulimwenguni
 
USHAURI

Ndugu zangu watanzania,hakikisheni mnalinda Afya zenu kwa gharama yeyote na siyo unatumia gharama kubwa kuteketeza Afya.

Ingawa suala la kuugua lipo kwenye asili ya mwanadamu,lakini magonjwa mengi hivi sasa ni mitindo ya maisha isiyofaa,siyo kwamba hatutakufa,tutakufa lakini kwanini tune mapema tena kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza na yanayozuilika!.

Nchi hii ya Tanzania usipokuwa na pesa ukaugua na ukategemea utaponea kwenye Hospitali za Serikali,basi nakupa pole!.

Tafuteni pesa kwa nguvu zote na hakikisheni mnaweka akiba kwa ajili ya maisha yajayo!.Kama huna sababu ya kutumia pesa ovyo,Acha mara moja!.

Achaneni na Anasa zisizo na mbele wala nyuma!

Yangu ni hayo!
 
Ile Hospital inafadhiliwa na devil worship,super masonic wenyewe, na kuna mambo ya ajabu yatatokea pale ambayo hujawahi ona.Now wameanza na surgery za kubadiki maungo.
unasemea matako na matiti ya kuchonga? Waliangalia mahitaji ya watu wakaona wanapenda matako na matiti ya mchongo ndiyo wakaja na huduma hiyo
 
ukimuona mtu anaisifia uloganzila ujue ni mfanyakazi wa afya tanzania, unajua maana ya uloga nzila uloga imerogwa na nzila ni njia = njia imerogwa kisukuma
Nenda pale emergency department utaelewa kwa nini wagonjwa wengi wanafia Mloganzila, uliza wengi wakifika pale hali zao za afya zikoje.

Imagine una mgonjwa Bosch, ametibiwa for a month, wakiona huyu anakufa wanampa rufaa kwenda MNH, wakipiga simu emergency ya MNH wanaambiwa huyo mpelekeni tawi la Mloganzila(kuna emergency correspondent anaelekeza either aletwe Upanga au Mloga), akipokelewa hakai hata siku mbili anakufa. Lawama mnapeleka kwa Mloganzila.
 
Back
Top Bottom