Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

Sidhani kama ilikuwa hivyo, ila kwa vile ni tawi la MNH na baadhi ya wanafunzi walipelekwa kule, ilibidi maDr nao wawe na sessions za Mloga. Nchi hii haina hospitali bora kama Mloganzila, hakuna hata moja, in terms of majengo, facilities hakuna. JK aliweka kitu cha maana sana pale.
Kama nimekuelewa zaidi kwa komenti zako 2
 
Mnalinganisha death rate ya Mloganzila na hospitali za kutibu ukurutu na kikohozi mnakuja kulalamika hapa.

Mnajua status za wagonjwa wanaoenda kutibiwa Mloganzila. Ile ni heavy duty, hao wagonjwa wangefia hizo kliniki zilizochangamka ila wakawahishwa Mloganzila angalau kujaribu kuokoa maisha yao kwa vifaa vya kisasa zaidi.

Ukitaka kulinganisha vifo vya hospitali pia linganisha na chanzo cha kifo. Sasa mtu figo zimefeli completely unataka asife hiyo miujiza anatoa daktari wa hospitali gani nchi hii. Mloganzila inapokea wagonjwa walioshindikana lazima vifo vyao viwe vingi, ukiwatoa ukawapeleka hospitali nyingine watakufa mapema na kwa wingi zaidi kuliko pale.
 
Hii issue aga inanifikirisha sana nakosa majibu,
Siwez sema Madaktari wa pale hawajui, au hali za wagonjwa wanaopelekwa pale zinakua zimefikia ukingoni, au Mazingira na Vifaa tiba duni.Yote hayo si majibu.

Jibu ni moja tu JIHADHARI NA UKIMWI UNAUA.
 
Back
Top Bottom