Kwanini wadada mnavaa nguo ndefu halafu mnashika na mikono?

Kwanini wadada mnavaa nguo ndefu halafu mnashika na mikono?

Mimi nacheka chokochoko zako, Miguu yangu bomba aisee, ukipishana na mimi lazima ugeuze shingo labda kama function less, lakini kama ni rijali aisee lazima ujete kupishana na mimi. ha haa haa haa

na kweli mkuu, cku moja nilikuona hapo karibu na mlimani city ( ingawa wewe hukuniona) mbona kidogo nipigwe dafraooo na kibajaji!!!!
 
na kweli mkuu, cku moja nilikuona hapo karibu na mlimani city ( ingawa wewe hukuniona) mbona kidogo nipigwe dafraooo na kibajaji!!!!

Mmmmmmmmmmmm!!!!!!! utani mwingine unakaribiana na ukweli na unaweza kuleta madhara aisee!!! hiyo mitaa hiyo mmmh!!.
 
Kwa lugha nyepesi waweza sema ndo kiumbe kisichojielewa kuzidi viumbe vyote duniani
 
Najua avator sio sura yako...nilikuona siku tumepanda wote kwny dala dala tumekaa wote ila hata salamu yangu hukuitikia ingawa ulikuwa unaniangalia kwa mitego sana...:sly:

eti eeh.....daladala ya kutoka wapi kwenda wapi.....
 
Mkuu GAUTAMA mwache mwanaume apange na kuchagua alivyoamua kuishi,anajua yeye.

Na ndio maana nilikuita uje uone. binadamu ana haki ya kuchagua na kupanga maneno anyoyataka, atumie neno mwaya, mwayego, nimekumisije huo ni uamuzi wake usimuite shoga. ilikua haina haja ya wewe kuanzisha uzi ule kuwaponda watu wa aina hiyo. nafikiri umeelewa sasa na double standards hazitakiwi.
 
Kuna tabia wadada wameanza,anavaa nguo ya heshima ndefu ya kufunika miguu halafu anashika na mikono na kuvuta kiasi kwamba inaonekana tena kama nguo fupi.Dada zangu hiyo tabia inatukera sana.

Kama kuna tope asiinue aiache ichafuke? Vinginevyo anakujua kisalamu
 
Ukiona mtu ananyanyua nguo ujue ni ndefu sana ivo anainyanyua ili aweze kutembea kwa urahisi,maana akiiachia inaweza kuikanyaga na ikamwangusha, hawanyanyui kwa nia mbaya.

lakini huwa zinawapendeza. hivi kwanini asipunguzw
 
Kuna tabia wadada wameanza,anavaa nguo ya heshima ndefu ya kufunika miguu halafu anashika na mikono na kuvuta kiasi kwamba inaonekana tena kama nguo fupi.Dada zangu hiyo tabia inatukera sana.
bora hata hiyo, ukienda uswahilini kuna ile anavaa nguo ndefu halafu anaichomekea kwenye chupi kwahiyo unamwona kabisa chupi ilipoanzia na ilipoishia.
 
lakini huwa zinawapendeza. hivi kwanini asipunguzw

Urefu ndio fashion yenyewe, sasa tupunguze ya nini, wakati ukishika kidogo na ukiwa umevaa high heels halafu bint awe kaenda hewani, akitembea lazima utamsindikiza kwa macho hadi anakoishia. ha haa haa haa!!!!!!!!!!!!
 
Kuna tabia wadada wameanza,anavaa nguo ya heshima ndefu ya kufunika miguu halafu anashika na mikono na kuvuta kiasi kwamba inaonekana tena kama nguo fupi.Dada zangu hiyo tabia inatukera sana.
Ulitaka tushike kwa mdomo??? Biashara matangazo babu weeh
 
Kwa akili ya kawida inajulikana anakuwa na lengo ganii kichwanii mwake... kama ndefu c aende kwa fundi apunguze.... je wale wadada unaobana madira kwa kuinyanyua katika nguo ya ndanii inakuaje?
 
Urefu ndio fashion yenyewe, sasa tupunguze ya nini, wakati ukishika kidogo na ukiwa umevaa high heels halafu bint awe kaenda hewani, akitembea lazima utamsindikiza kwa macho hadi anakoishia. ha haa haa haa!!!!!!!!!!!!
hata akivaa tule tuviatu tufupi huwa namtongoza kwa mawazo maana huwa wananivutia mpaka nakuwa domo zege. na ukute ana tu dread kichwani na miwani afu anatembea kama twiga. daaahhh
 
Ananyanyua ili asianguke. Nguo ikizidi urefu inazuia kutembea vizuri
 
Back
Top Bottom