Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,777
- 42,921
Mtajuaje kama tuna miguu mizuri babu wee.. watoto wa mjini wanaita swaga na vjjn wanasema mambo ya kisasa atiiii
mbna kmya sana mchumba?
Mtajuaje kama tuna miguu mizuri babu wee.. watoto wa mjini wanaita swaga na vjjn wanasema mambo ya kisasa atiiii
hata akivaa tule tuviatu tufupi huwa namtongoza kwa mawazo maana huwa wananivutia mpaka nakuwa domo zege. na ukute ana tu dread kichwani na miwani afu anatembea kama twiga. daaahhh
Kuna tabia wadada wameanza,anavaa nguo ya heshima ndefu ya kufunika miguu halafu anashika na mikono na kuvuta kiasi kwamba inaonekana tena kama nguo fupi.Dada zangu hiyo tabia inatukera sana.
mbna kmya sana mchumba?
Wengi wa wanaovaa nguo ndefu mpaka kuzinyanyua wanaficha cherewa zao, demu mwenye mguu bomba hawezi kuvaa mgauni kama bibi harusi😕
Halafu wengi mnaovaa maguo mareeefu eti hamva vyupi😀
Hata wenye chelewa zetu vimini vinahusika,Ni maamuzi na kujiamini tu
Huwezi kujiumini ukiwa una cherewa, huna kijungu na sura unayomiliki ni ya baba yako:sly:
Bado mwanamke anashikilia rekodi ya kuwa kiumbe cha ajabu kuliko vyote.....kwani ndiye kiumbe pekee anayepingana na utashi wa nafsi yake kwa kufuata maono ya macho yake ambayo hata hivyo hayaoni vizuri......
Naona unam describe mama'ko aliyekuzaa.