Kwanini wadada mnavaa nguo ndefu halafu mnashika na mikono?

Kwanini wadada mnavaa nguo ndefu halafu mnashika na mikono?

Kuna tabia wadada wameanza,anavaa nguo ya heshima ndefu ya kufunika miguu halafu anashka na mikono na kuvuta kiasi kwamba inaonekana tena kama nguo fupi.
Dada zangu hyo tabia inatukera sana

Vidada vingi pia vya chuo vikiambiwa dress code, basi vinavaa nguo ndefu halafu vinaivuta na inachomekwa kwenye chupi....

Jamanii...
 
Ukiona mtu ananyanyua nguo ujue ni ndefu sana ivo anainyanyua ili aweze kutembea kwa urahisi,maana akiiachia inaweza kuikanyaga na ikamwangusha, hawanyanyui kwa nia mbaya.

Wengi wa wanaovaa nguo ndefu mpaka kuzinyanyua wanaficha cherewa zao, demu mwenye mguu bomba hawezi kuvaa mgauni kama bibi harusi😕

Halafu wengi mnaovaa maguo mareeefu eti hamva vyupi😀
 
Wengi wa wanaovaa nguo ndefu mpaka kuzinyanyua wanaficha cherewa zao, demu mwenye mguu bomba hawezi kuvaa mgauni kama bibi harusi😕

Halafu wengi mnaovaa maguo mareeefu eti hamva vyupi😀

Inategemeaa bwana kuna magauni marefu tu mtu anayapenda na kuamua kuyavaa hata kama ana guu kama langu (kidin) ila mbona siku hizi hata wenye chelewa wanavaaa vimini,wanaovaaga madera wengi kwenye kigododro hawavaaigi vyupi ila sio wote
 
Kuna tabia wadada wameanza,anavaa nguo ya heshima ndefu ya kufunika miguu halafu anashka na mikono na kuvuta kiasi kwamba inaonekana tena kama nguo fupi.
Dada zangu hyo tabia inatukera sana

Bora hiyo kuliko ya kuchomekea dera kwenye CCHUPI
 
sa mbona nyie mnashika mapumbu na mkono mkiwa mmevaa suruali, mnaweka mkono chini ya mapumbu mnakuwa kama mnanyanyua suruali juu, sina picha sorry

Muda mwingine dushe Konstanz kukuumbua mbele za watu,kwa hiyo inabid uweke mazingira sawa
 
Bado mwanamke anashikilia rekodi ya kuwa kiumbe cha ajabu kuliko vyote.....kwani ndiye kiumbe pekee anayepingana na utashi wa nafsi yake kwa kufuata maono ya macho yake ambayo hata hivyo hayaoni vizuri......
 
Inakuwa ndefu sasa wakati wa kutembea unakuta unaikanyaga ama kuiburuza,kwahiyo unaishikilia kidogi ili uweze kutembea vizuri.
 
Wengi wa wanaovaa nguo ndefu mpaka kuzinyanyua wanaficha cherewa zao, demu mwenye mguu bomba hawezi kuvaa mgauni kama bibi harusi😕

Halafu wengi mnaovaa maguo mareeefu eti hamva vyupi😀

Inaweza kuwa ni fashion pia kuna sket ndefu ziliingia kama fashion na siyo wote waliovaa wana chelewa afu siku hizi watu hawajali....kama ana chelewa ama fito anchojali amekipenda hicho kivazi basi hayo mengine utajijua mwenyewe.
 
inategemeaa bwana kuna magauni marefu tu mtu anayapenda na kuamua kuyavaa hata kama ana guu kama langu (kidin) ila mbona siku hizi hata wenye chelewa wanavaaa vimini

wanaovaaga madera wengi kwenye kigododro hawavaaigi vyupi ila sio wote

Nayajua yale magauni ni mazuri sana,it's a new fashion.Lakini mwanamke kutovaa chupi ni hatari sana..what if ukaanza kubleed ghafla?
 
sister

Yeah cherewa sio issue sana, as well mtu ana kijungu kidogo na beautiful face km ww sister😛
 
Last edited by a moderator:
inategemeaa bwana kuna magauni marefu tu mtu anayapenda na kuamua kuyavaa hata kama ana guu kama langu (kidin) ila mbona siku hizi hata wenye chelewa wanavaaa vimini

wanaovaaga madera wengi kwenye kigododro hawavaaigi vyupi ila sio wote

Weka picha ya mguu wako, na hii ya kutovaa vyupi wana maanisha nini? masai dada
 
Last edited by a moderator:
Nayajua yale magauni ni mazuri sana...it's a new fashion..

Lakini mwanamke kutovaa chupi ni hatari sana..what if ukaanza kubleed ghafla???

Hakuna bleed inayokuja ghafla.Lazima kuwepo na dalili na isitoshe zina tarehe zake.
 
Back
Top Bottom