Complex Minder
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 534
- 160
sa mbona nyie mnashika mapumbu na mkono mkiwa mmevaa suruali, mnaweka mkono chini ya mapumbu mnakuwa kama mnanyanyua suruali juu, sina picha sorry
Shikamooop
sa mbona nyie mnashika mapumbu na mkono mkiwa mmevaa suruali, mnaweka mkono chini ya mapumbu mnakuwa kama mnanyanyua suruali juu, sina picha sorry
Hakuna bleed inayokuja ghafla.Lazima kuwepo na dalili na isitoshe zina tarehe zake.
Hakuna bleed inayokuja ghafla.Lazima kuwepo na dalili na isitoshe zina tarehe zake.
Tunawapa introduction kwamba mambo iko huku.......
Kuna tabia wadada wameanza,anavaa nguo ya heshima ndefu ya kufunika miguu halafu anashka na mikono na kuvuta kiasi kwamba inaonekana tena kama nguo fupi.
Dada zangu hyo tabia inatukera sana
sa mbona nyie mnashika mapumbu na mkono mkiwa mmevaa suruali, mnaweka mkono chini ya mapumbu mnakuwa kama mnanyanyua suruali juu, sina picha sorry
Mambo ipo wapi? Tuonyeshe
Wanaume hamna jema nguo fupi mnalalamika, suruali mnalalamika, nguo ndefu mnalalamika, sijui mnataka tuvae magunia ndio roho itawatulia.
Wengi wa wanaovaa nguo ndefu mpaka kuzinyanyua wanaficha cherewa zao, demu mwenye mguu bomba hawezi kuvaa mgauni kama bibi harusi😕
Halafu wengi mnaovaa maguo mareeefu eti hamva vyupi😀
Waswas wako tu,wanawake tunaweza kuvaa vyovyote na tukatoka bomba bhana, kuwa cherewa hakuwezi kumfanya mtu asitoke bomba kama amepangilia vizuri kimini chake amini hilo. hila la kutovaa vyupi sina ushahidi nalo labda wewe unaushahidi wa kutosha ndio maana umesema.
guuu unlimited
ushaonaga masai ana mguu mnene?
nilikua nadanganya mkuuu inaonekana unapenda sana miguuu
kubleed wap?