Kwanini wadada mnavaa nguo ndefu halafu mnashika na mikono?

Kwanini wadada mnavaa nguo ndefu halafu mnashika na mikono?

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Kuna tabia wadada wameanza,anavaa nguo ya heshima ndefu ya kufunika miguu halafu anashika na mikono na kuvuta kiasi kwamba inaonekana tena kama nguo fupi.Dada zangu hiyo tabia inatukera sana.
 
Tyta tusaidie picha niweze kueleweka vizuri
 
Last edited by a moderator:
sa mbona nyie mnashika mapumbu na mkono mkiwa mmevaa suruali, mnaweka mkono chini ya mapumbu mnakuwa kama mnanyanyua suruali juu, sina picha sorry

aibu nimeona mimi nakwambia
 
Ukiona mtu ananyanyua nguo ujue ni ndefu sana ivo anainyanyua ili aweze kutembea kwa urahisi,maana akiiachia inaweza kuikanyaga na ikamwangusha, hawanyanyui kwa nia mbaya.
 
sa mbona nyie mnashika mapumbu na mkono mkiwa mmevaa suruali, mnaweka mkono chini ya mapumbu mnakuwa kama mnanyanyua suruali juu, sina picha sorry

Nashukuru nimepita hapa leo,sijacheka kiasi hiki toka mwaka uanze....!!
 
Kuna tabia wadada wameanza,anavaa nguo ya heshima ndefu ya kufunika miguu halafu anashka na mikono na kuvuta kiasi kwamba inaonekana tena kama nguo fupi.
Dada zangu hyo tabia inatukera sana

Nguo ndefu sometimes inatega waweza anguka, this cud be on of the reason.
 
Mtajuaje kama tuna miguu mizuri babu wee.. watoto wa mjini wanaita swaga na vjjn wanasema mambo ya kisasa atiiii
 
Yaani mnachunguza wanawake hadi inakuwa shida,naona baadhi yenu mnapata tabu leo nguo hii fupi,ndefu,inabana sana,hajapendeza mmmmh

Mara wanapenda pesa kuliko mume,ilimradi tu
 
Back
Top Bottom