Kwanini wadada ambao siwataki huwa ndo wananishobokea?

Kwanini wadada ambao siwataki huwa ndo wananishobokea?

hellow

Kuna hili tatizo wanajamvi nimeli-observe kwangu yani mara nyingi wale mademu ambao ndo napenda haswa niwe nao kwenye mahusiano ya kimapenzi wanakuwa hawana mda na mimi, lakini wale ambao aaarrgh hawanivutii ndo karibia kila cku sms wanantumia kila kukicha..plus shobo kibao..

unakuta demu sometimes ananiganda hanivutii wala nn mpaka natamani nimkate kelebu moja ya taya ila bac tu... lkn wale ninaowataka hawana mda na mm..cjui nn hiki..hili tatizo ni langu tu au wengine mnalo pia?
Kasilize nyimbo ya mwasiti serebuka
 
Kwanini unasema hawakumind unaowataka....umewaomba wakakataa....ndugu yangu usichoomba hupewi..
 
Back
Top Bottom