Kwanini wadada ambao siwataki huwa ndo wananishobokea?

Kwanini wadada ambao siwataki huwa ndo wananishobokea?

Nadhani hujui nini unataka au una tune akili yako kua hawa sio nnao wapenda ujua kua kila mtu ana choice yake,lama unavyowaona hao wengine unatamani uwakate vibao wengine huwezi jua wana dhani wewe una hadhi ya kua shamba boy wao....
 
Vice versing the nature. ..penda unapopendwa kwingine utaambulia maumivu
Wa mchangani anataka acheze EPL wengi wetu hughiribika hapo huna hadhi ya kula slipway American chips panakuhusu uking'ang'ana unapewa za chembe ridhika na hali yako hata hao unasema wanakushobokea wapo wenzio wanawatamani.
 
hellow

Kuna hili tatizo wanajamvi nimeli-observe kwangu yani mara nyingi wale mademu ambao ndo napenda haswa niwe nao kwenye mahusiano ya kimapenzi wanakuwa hawana mda na mimi, lakini wale ambao aaarrgh hawanivutii ndo karibia kila cku sms wanantumia kila kukicha..plus shobo kibao..

unakuta demu sometimes ananiganda hanivutii wala nn mpaka natamani nimkate kelebu moja ya taya ila bac tu... lkn wale ninaowataka hawana mda na mm..cjui nn hiki..hili tatizo ni langu tu au wengine mnalo pia?
Unajua ww ni nani!?
 
SIFA NA TOFAUTI ZA KINADADA VIMBAU MBAU (WEMBAMBA)

1. Ni wepesi kitandani sio kama gogo (viuno kama feni)

2.Hawali chakula kingi sana Hata ukitoka nae kama walivyo wanawake wanene wanavyo fukia misosi.

3. Anapendeza akivaa kila aina ya nguo tofauti na wenye vitambi( wanawake wanene)

4. Wengi wao ni wasafi vikwapa na majasho ya hovyohovyo hawana.

5.Ni rahisi Hata kumpitisha dirishani kama umefumaniwa au kumficha kwenye kabati na ukakaa vizuri au uvunguni.

6. Ni Rahisi kumu hold tight especially uko nae beach mnaogelea au Hata ameumwa usiku na huna gari na hawezi kutembea unambeba tu vizuri.

7. Ni mwepesi (ana pumzi) Hata kukimbia in case of any emergency/ danger tofaut na mnene

8. Wengi wao ni wajanja sana.

9. Wanajua kubana matumizi. wala hawana magonjwa hovyo kama presha!

10. Wanaakili za maisha, hawana aibu na hawaogopi ndio maana wengi wao wanafanikiwa.

"Hayo ni nawazo yangu tu lakini"....
Khaaa mbona kama out of point
 
Hao wanaokutaka ndiyo size yako... hao ambao hawakutaki siyo size yako...
 
Hebu tafuta Wimbo mmoja aliimba Papii kocha na Eli Longomba.. Ni Mzuri sana, ni Kama wanamlilia mpenzi wao Arudi home.. Kuna mistari flan huyo mdada analalamika Kama wewe Kua unaempenda hakupendi usiempenda anakufuatafuata.. Ni bonge la Song yan.
 
Ingawa kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake lakini kuna baadhi ya mbuzi kamba zao ndefu wanakula mpaka kwenye majani yetu....
 
Ili kiwasaidia na wengine.Kama hukipendi kitu fulani usikifikirie wala usikipe nafasi kabisa katika maisha yako.Mfano kuna watu huwa wanasema sipendi kuwa mwalim na wameishia kuwa waalimu.Huupendi ualimu unautaja wa nini.Kwa nini usiseme aisew mi napenda kuwa mhasibu au mkulima ....e.t.c ukataja kazi unazozipenda.Mfano umesema wusiowapenda wanakutumia sms.Namba yako walitoa wapi.?
Cha msingi hapa think about something you like,you love you will attract it to your life.Keep thinking about hao wasichana unaowapenda watakuja kwenye maisha yako.Hao usiowapenda usiwafikirie kabisa na namba yako usiwape.
 
Back
Top Bottom