Kwanini wachumba wa mitandaoni wengi ni waliokubuhu?

Kwanini wachumba wa mitandaoni wengi ni waliokubuhu?

mtandaoni naic utakuwa umepotea njia maana mke mwema anatoka kwa bwana vp makanisani na misikitini umejaribu
 
Hiyo kauli yangu imekuja kutokana na niliotendewa.Je,ni ustaarabu mwanamke mmetoka honeymoon ndani ya siku 10 kwenye nyumba mtu kashaiba milioni 2?? ina maana hakunipenda bali alikuwa anatafuta maisha kupitia mapenzi.

nifafanue kidogo hapo ndugu. hata wanaume wapo ambao wanaingia katika ndoa na mwanamke kwa sababu anatoka ukoo wa matajiri, ana fedha nyingi yeye binafsi na kwenye ukoo. nataka kusema yapo mazingira ambayo mtu mmoja mmoja anakuwa ana tatizo la uroho. sidhani kama ni sahihi kutoa hukumu ya ujumla kama ulivyofanya katika kauli kwamba umekutana na wenye umri mkubwa au wenye matatizo ya kimaisha na anataka atumie mapenzi ya kuwa mke ili atatue matatizo yake.

Kupata mke mwema au mume mwema kuna kiwango fulani cha bahati nasibu hivi. lakini naamini wazuri wapo ukijipatia muda mrefu wa kusoma. tatizo ni kwamba katika ujana hatujipatii muda mrefu tosha kumtambua mtu. Haraka haraka za ujana ukichanganya na nguvu ya hamu ya kumlala mwanamke wengi tunaoa kwa sababu isiyokuwa sahihi (you married for s.ex) na matokeo tunamkosa aliye sahihi. Nina hakika ungejipa muda wa kutosha ungetambua hiyo tabia ya wizi ya mkeo. lakini si wote wezi. hilo ndo nataka kusema. Ukiliangalia kwa makini basi, mtu wa kumlaumu katika kupata huyo mke mwizi wa milioni 2 ni wewe. Ulimwoa bila kumjua vizuri.

Haya. Hitimisho linakuwaje hapo? Chunga usikute unaamua kuoa kumbe ni kwa sababu anakuliza sana kitandani. Jipe muda.... tabia za mtu mwizi hazijifichi. Wanakuwa waongo katika mambo hata madogo-madogo. Ukiona dalili za uongo hata kama ni katika vitu vidogo-vidogo ujue umechagua tatizo. Na tabia hizo huwezi kuzijua kwa kulala naye leo, kakuliza usiku huo, kesho unaona ushapata mke. Tumia sababu sahihi za kuoa. Na hilo linahitaji muda. Wazuri wapo....


NB: ungejua unaongea na nani, mwenye uzoefu upi, ungefuata ushauri huu bila kubadili neno. Jipe Muda kuamua...Usisikilize pressure kutoka kokote--hata kama hiyo presha ni ya watu wengine kujifanya wanamtaka.
 
hebu tizama hilo eneo nimeweka rangi nyekundu hapo juu. hilo ndo hasa nataka kulisemea. umeandika kama kwamba ni kosa kwa mwanamke kutafuta kutumia ndoa kama njia ya kutatua matatizo yake. huo mtizamo wako ni mtizamo mbaya sana ndugu. nadhani huu utakuwa ushahidi kuwa wewe si mwenza mzuri, na pengine ndo maana huna ndoa.

binadamu tunaishi kwa kutegemeana. hakuna kosa mwanamke kukuhesabu wewe kama msaada katika maisha yake. shida za mwanamke si tamaa ya huo mhogo wako tu. lazima yatakuwepo na mengine ambayo wewe unatakiwa kuyapokea kama ya kwako pia, kama mtakubaliana kukaa pamoja.

mi sijaipenda hiyo kauli yako kabisa.

Nimepata mawazo ya wengi hata kwenye pm nawe pia nimepata mawazo yako nitafanyia kazi na kuchanganya na akili yangu.
 
Aisee!Kuchelewa kufa kuona mengi!Njoo mi nna bikra ya pua kwakuwa makamasi malaini!

Una bikra ya pua?? Ina maana kusini kwako na kaskazini ni BAHARI? Inaelekea umekubuhu mpaka umepitiliza,nilitegemea hata useme una bikra ya kusini kumbe hata hiyo haipo imebaki ya pua tu.
 
Wana wa mmu,tangu ndoa yangu ivunjike nimekuwa na juhudi kubwa za kutafuta mke hasa kwenye mitandao cha ajabu ni kwamba nakutana na watu waliokubuhu katika mapenzi, wenye watoto tiari, walioachika au wenye umri mkubwa au wenye matatizo ya kimaisha na anataka atumie mapenzi ya kuwa mke ili atatue matatizo yake.

Kwakweli sijawahi kukutana na bikra. Nilidhani naweza kupata mchumba mzuri kwa kukutana na watu wapya nisiowajua lakini zoezi ni gumu kama chuma.

cc: Madame B

via MCHUNGUZI HURU
 
Last edited by a moderator:
Wana wa mmu,tangu ndoa yangu ivunjike nimekuwa na juhudi kubwa za kutafuta mke hasa kwenye mitandao cha ajabu ni kwamba nakutana na watu waliokubuhu katika mapenzi, wenye watoto tiari, walioachika au wenye umri mkubwa au wenye matatizo ya kimaisha na anataka atumie mapenzi ya kuwa mke ili atatue matatizo yake.

Kwakweli sijawahi kukutana na bikra. Nilidhani naweza kupata mchumba mzuri kwa kukutana na watu wapya nisiowajua lakini zoezi ni gumu kama chuma.

cc: Madame B

via MCHUNGUZI HURU
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhahahaha eee bw mkubwa usitake ncheke...Hahahahahahaha, sasa utamaliza mademu wetu kwa kuwaonja kwa lengo lako la kutafuta anaefaaa,, ungalia bw usije tuhalibia Papuchi hizo bhana wengine hatujaoa bado mkubwa..
 
Wewe vp? Hizo pesa ndo sababu ya kumbwaga? Ungempa kichapo heavy hadi anaona mauti kwa mbali afu unampa 5m atunze daadek!, wewe ungekua ndo njia ya kumbadilisha tabia

Anaonekana kitombi huyo...aliona honeymoon imeshamtosha hahitaji tena....
 
Hahahahhahahaha eee bw mkubwa usitake ncheke...Hahahahahahaha, sasa utamaliza mademu wetu kwa kuwaonja kwa lengo lako la kutafuta anaefaaa,, ungalia bw usije tuhalibia Papuchi hizo bhana wengine hatujaoa bado mkubwa..

Utajiju dogo,wakamue na wewe.
 
ahahahahaaaa rafiki umeniacha hoi duuu pole sana
 
Back
Top Bottom