MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
Asante rafiki kama unajua bikra yeyote huko nisukumie ila isiwe ya mchina tu.
ya mchina ndio ulifikiri ipi?
Asante rafiki kama unajua bikra yeyote huko nisukumie ila isiwe ya mchina tu.
ya mchina ndio ulifikiri ipi?
Asante rafiki kama unajua bikra yeyote huko nisukumie ila isiwe ya mchina tu.
Kumbe unataka bikra?
Kwani darling you are not?:sad:
Anaweza kubahatisha ya Tigo lakini ya Airtel hapati humu ng'oooo.
Namaanisha kama una dada yeyote unamjua mwenye bikra nisukumie ila asiwe na bikra ya mchina,umenipata swt?
Will I get paid?i am a virgin dear..sijui hataa nini kinafanyika,nifundishe pls
Wewe hujaachika? au wewe ni bikira?
lahaula! haha kumbe ushajimuvuzisha haha natania bossAisee niseme tu mimi nimekutana na wadada wa jf wengi tu na all i can say is 'jf is full of beautiful women' no regret for me.
wana wa mmu,tangu ndoa yangu ivunjike nimekuwa na juhudi kubwa za kutafuta mke hasa kwenye mitandao cha ajabu ni kwamba nakutana na watu waliokubuhu katika mapenzi, wenye watoto tiari, walioachika au wenye umri mkubwa au wenye matatizo ya kimaisha na anataka atumie mapenzi ya kuwa mke ili atatue matatizo yake.
Kwakweli sijawahi kukutana na bikra. Nilidhani naweza kupata mchumba mzuri kwa kukutana na watu wapya nisiowajua lakini zoezi ni gumu kama chuma.
Mkuu, unatafuta mke au bikra..!?!?, maana kama unatafuta bikra nadhani utasubiri hadi yesu arudi.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Wana wa mmu,tangu ndoa yangu ivunjike nimekuwa na juhudi kubwa za kutafuta mke hasa kwenye mitandao cha ajabu ni kwamba nakutana na watu waliokubuhu katika mapenzi, wenye watoto tiari, walioachika au wenye umri mkubwa au wenye matatizo ya kimaisha na anataka atumie mapenzi ya kuwa mke ili atatue matatizo yake.
Kwakweli sijawahi kukutana na bikra. Nilidhani naweza kupata mchumba mzuri kwa kukutana na watu wapya nisiowajua lakini zoezi ni gumu kama chuma.
Ungekuwa unamgegeda vizuri hasingekuibia hiyo pesa yako. Mkuu ukipata mwingine fanya mautundu mengi ataogopa kuiba na atakueshim.