Nasikia kuna wachina huko.Utakuta wana maslahi na makampuni makubwa
Waulizeni watu wa Bwawa la mteraSijawaelewa kabisa wabunge wa maeneo ya ziwa Tanganyika kupinga hoja ya waziri ya kulifunga ziwa kwa kipindi Cha miezi 3 ili kuruhusu samaki kuzaliana kwa wingi na kuingezeka...
tayari washafika hawa mchwaNasikia kuna wachina huko.
...Nyinyi 'Wananchi' mnaokubaliana na Hoja ya Waziri, Mko Wangapi ? Usije ukawa wewe peke Yako Nyuma ya Keyboard !Sijawaelewa kabisa wabunge wa maeneo ya ziwa Tanganyika kupinga hoja ya waziri ya kulifunga ziwa kwa kipindi Cha miezi 3 ili kuruhusu samaki kuzaliana kwa wingi na kuingezeka...
Serikali inapaswa iwe makini sana, isibabaishwe na hoja za kinafiki, wizara inapaswa isimamie masilahi mapana ya wananchi na nchi.Utakuta wana maslahi na makampuni makubwa
Wavuvi wote wa samaki kutoka Pwani ya kibirizi na katonga mkoani KIGOMA na katavi tunakubaliana na hoja ya waziri ya kufunga ziwa kwa muda wa miezi 3 ili samaki ziongezeke....Nyinyi 'Wananchi' mnaokubaliana na Hoja ya Waziri, Mko Wangapi ? Usije ukawa wewe peke Yako Nyuma ya Keyboard !
Hawa wabunge hawafanyi siasa ila wanalinda biashara zao zinazohusiana na uvuvi.Sijawaelewa kabisa wabunge wa maeneo ya ziwa Tanganyika kupinga hoja ya waziri ya kulifunga ziwa kwa kipindi Cha miezi 3 ili kuruhusu samaki kuzaliana kwa wingi na kuingezeka...
Lazima patafutwe namna ya kuwassidia wavuvi kujikimu kimaisha la sivyo uhalifu upo mlangoniWavuvi wote wa samaki kutoka Pwani ya kibirizi na katonga mkoani KIGOMA na katavi tunakubaliana na hoja ya waziri ya kufunga ziwa kwa muda wa miezi 3 ili samaki ziongezeke.
Unaona sasaNasikia kuna wachina huko.
Unadhani wanajali wananchi haoSerikali inapaswa iwe makini sana, isibabaishwe na hoja za kinafiki, wizara inapaswa isimamie masilahi mapana ya wananchi na nchi.
Wananchi washirikishwe Kikamilifu ili wajue faida ya zoezi hilo la kufunga ziwa.
Hatakama hili halitazingatiwa na yeyote yule, ila umeliwaza vizuri sana.Wabunge wapo sahihi,watu wengi wanaoishi kuzunguka hili ziwa ni maskini ambao mahitaji yao ya kila siku wanayapata kwa kutegemea uvuvi kwa kiwango kiwango...