Kwanini Wabunge wetu wanakataa ziwa Tanganyika kufungwa kwa muda ila samaki wazaliane?

Wabunge wapo sahihi,watu wengi wanaoishi kuzunguka hili ziwa ni maskini ambao mahitaji yao ya kila siku wanayapata kwa kutegemea uvuvi kwa kiwango kiwango.
Ukifunga ziwa hili kwa miezi mitatu watu wengi wataishi maisha magumu sana na uhalifu utaongezeka.
Lakini pia ziwa hili linatumiwa na nchi ya Kongo na hatuwezi kuwazuia wavuvi wa Kongo wasivue samaki.
Kama serikali kama inataka kuongeza samaki ziwani basi wajenge mabwawa kuzunguka ziwa Tanganyika ambayo yatakuwa yanatumika kukuza vifaranga wa samaki na kuwaruhusu kuingia ziwani pale wanapokuwa wamekomaa tayari kuvuliwa.
Mpango huu unapaswa kushirikisha nchi zote mbili.
Hao samaki watakapoisha hapo ziwani hao wanainchi si ndio watakufa vizuri sasa kwahiyo njaa na uhalifu utatamalaki vizuri kabisa.
 
Huku mnafunga, kule Congo na Inchi zingine zinazopakana na Ziwa Wanavua, Samaki waliozaliana huku wanakimbilia Congo wanavuliwa , mnakuja kufungulia uvuvi samaki bado adimu kama ilivyo kuwa zamani , Natania Fungeni Muache kuvua mje muungane nasi wala Mchicha
Nchi yetu Iko makini na waziri Yuko makini sana, amelitolea ufafanuzi Hilo jambo kuwa watazungumza na Nchi ya congo juu ya kukubali kufunga ziwa kwa miezi 3
 
Hili suala ni gumu sana halihitaji mihemko ya kisiasa ukweli uliowazi samaki wameadimika sana na wanao vuliwa ni uharibifu.

Lakini najaribu kuwa watu wa maeneo ya Katete,Chongokatete,Isaba,Kazovu,Mvuna,Manda( kerenge na ulwile),Karangu,Kirando,Kipili,Namansi,Kabwe,Korogwe nk watakuwa na maisha ya aina gani ? Na je wizara imejipanga vipi ?
Wakiendelea kuvuliwa kwa sasa na wakaisha kabisa hao wavuvi wataishi maisha gani?
 
Sijawaelewa kabisa wabunge wa maeneo ya ziwa Tanganyika kupinga hoja ya waziri ya kulifunga ziwa kwa kipindi Cha miezi 3 ili kuruhusu samaki kuzaliana kwa wingi na kuingezeka.

Sisi wananchi tunakubaliana asilimia 100 na hoja ya waziri kwasababu tunauona samaki wanao vuliwa kwa sasa ni wadogo sana na wameadimika.

Mfano samaki aina ya Kuhe ambao zamani walikuwa wengi sana lakini kwa sasa kadiri siku zinavyo kwenda wanazidi kuadimika!!!

Samaki aina ya migebuka wanao patikana ni wadogowadogo!!!! Bei Iko juu.

Wabunge wetu acheni siasa kwenye mambo ya msingi kuweni wakeeli, Zingatieni masilahi ya wananchi sio kupinga tu kila kitu, hata sisi ambao sio wasomi tunaona kuna manufaa makubwa endapo ziwa litafungwa kwa muda kuliko Hali ilivyo sasa.

Sisi wananchi tunakubaliana na lengo la wizara kwa faida ya wavuvi, ni Bora tuvumilie kwa kipindi Cha miezi 3 ili tupate manufaa makubwa zaidi kuliko kubangaiza kama ilivyo sasa hakuna kitu.

Tunaiomba wizara iendelee na utaratibu ili kuinua uchumi wa wavuvi.

Wavuvi kutoka Pwani ya Kibirizi na katonga mkoani KIGOMA
Ni upuuzi tu kuweka SIASA kwa jambo la KISAYANSI.....

Yaani unaleta SIASA..... SIASA....SIASA katika SAYANSI YA TABIA YA NCHI ?!!!!

"Uzwazwa" huu wa ajabu kabisa......

Miezi 3 ili tupate faida kubwa tunaiona miaka 100?!!!

Upuuzi mtupu.....

#HekoMh.Waziri
#MaslahiYaNchiKwanza
#MaslahiYaWageniTuyawekeMigongoni
#SiempreJMT
 
Sijawaelewa kabisa wabunge wa maeneo ya ziwa Tanganyika kupinga hoja ya waziri ya kulifunga ziwa kwa kipindi Cha miezi 3 ili kuruhusu samaki kuzaliana kwa wingi na kuingezeka.

Sisi wananchi tunakubaliana asilimia 100 na hoja ya waziri kwasababu tunauona samaki wanao vuliwa kwa sasa ni wadogo sana na wameadimika.

Mfano samaki aina ya Kuhe ambao zamani walikuwa wengi sana lakini kwa sasa kadiri siku zinavyo kwenda wanazidi kuadimika!!!

Samaki aina ya migebuka wanao patikana ni wadogowadogo!!!! Bei Iko juu.

Wabunge wetu acheni siasa kwenye mambo ya msingi kuweni wakeeli, Zingatieni masilahi ya wananchi sio kupinga tu kila kitu, hata sisi ambao sio wasomi tunaona kuna manufaa makubwa endapo ziwa litafungwa kwa muda kuliko Hali ilivyo sasa.

Sisi wananchi tunakubaliana na lengo la wizara kwa faida ya wavuvi, ni Bora tuvumilie kwa kipindi Cha miezi 3 ili tupate manufaa makubwa zaidi kuliko kubangaiza kama ilivyo sasa hakuna kitu.

Tunaiomba wizara iendelee na utaratibu ili kuinua uchumi wa wavuvi.

Wavuvi kutoka Pwani ya Kibirizi na katonga mkoani KIGOMA
 
Sijawaelewa kabisa wabunge wa maeneo ya ziwa Tanganyika kupinga hoja ya waziri ya kulifunga ziwa kwa kipindi Cha miezi 3 ili kuruhusu samaki kuzaliana kwa wingi na kuingezeka.

Sisi wananchi tunakubaliana asilimia 100 na hoja ya waziri kwasababu tunauona samaki wanao vuliwa kwa sasa ni wadogo sana na wameadimika.

Mfano samaki aina ya Kuhe ambao zamani walikuwa wengi sana lakini kwa sasa kadiri siku zinavyo kwenda wanazidi kuadimika!!!

Samaki aina ya migebuka wanao patikana ni wadogowadogo!!!! Bei Iko juu.

Wabunge wetu acheni siasa kwenye mambo ya msingi kuweni wakeeli, Zingatieni masilahi ya wananchi sio kupinga tu kila kitu, hata sisi ambao sio wasomi tunaona kuna manufaa makubwa endapo ziwa litafungwa kwa muda kuliko Hali ilivyo sasa.

Sisi wananchi tunakubaliana na lengo la wizara kwa faida ya wavuvi, ni Bora tuvumilie kwa kipindi Cha miezi 3 ili tupate manufaa makubwa zaidi kuliko kubangaiza kama ilivyo sasa hakuna kitu.

Tunaiomba wizara iendelee na utaratibu ili kuinua uchumi wa wavuvi.

Wavuvi kutoka Pwani ya Kibirizi na katonga mkoani KIGOMA
 
Kule moshi bwawa la nyumba ya mungu lilifungwa kwa muda usiopungua miezi sita ili samaki wazaliane na wakue, ikawa shughuli pevu kwa wananchi wanaoendesha maisha kwa uvuvi wa pale, wengine walienda ziwa eyas, natron na manyara.

Samaki wa nyumba ya mungu ikabidi wavuliwe ki magendo na kuuzwa kama dawa za kulevya. Udhibiti ulikuwa mgumu, wavuvi walivua usiku usiku na kuendelea na mishe zao kama kawaida.

Huko ziwa tanganyika hawatafanikiwa kudhibiti ziwa lote samaki watavuliwa tu
Mbona unakatisha tamaa hivyo?!!!

Wizara imeshajifunza yaliyotokea "Nyumba ya Mungu" hutoyaona huko Kibirizi na Katonga.....

#SiempreJMT
 
Watu wanapambana kupata ubunge,tunadhani wanakwenda kutusemea kumbe wanakwenda kuatamia makampuni yao na ya washkaji zao.
Kwenye kila eneo huwakosi watu WASIOTANGULIZA MASLAHI YA RAIA WENZAO NA YA NCHI......

#SiempreJMT
 
Wabunge wapo sahihi,watu wengi wanaoishi kuzunguka hili ziwa ni maskini ambao mahitaji yao ya kila siku wanayapata kwa kutegemea uvuvi kwa kiwango kiwango.

Ukifunga ziwa hili kwa miezi mitatu watu wengi wataishi maisha magumu sana na uhalifu utaongezeka.

Lakini pia ziwa hili linatumiwa na nchi ya Kongo na hatuwezi kuwazuia wavuvi wa Kongo wasivue samaki.

Kama serikali kama inataka kuongeza samaki ziwani basi wajenge mabwawa kuzunguka ziwa Tanganyika ambayo yatakuwa yanatumika kukuza vifaranga wa samaki na kuwaruhusu kuingia ziwani pale wanapokuwa wamekomaa tayari kuvuliwa.

Mpango huu unapaswa kushirikisha nchi zote mbili.
Si kweli kwamba wananchi wanao ishi ziwa Tanganyika wanategemea kwa asilimia 100 uvuvi tu bali pia wanategemea zaidi kilimo za mazao ya biashara kama mihogo, maharagwe, mahindi, mpunga, na Karanga.

Pia ikumbukwe kuna wakati samaki wanakosekana kabisaaa na wananchi wanaendelea na biashara zingine, hivyo si kweli kwamba eti ziwa likifungwa kwa miezi 3 eti wananchi watakufa kwa umasikini
 
Sijawaelewa kabisa wabunge wa maeneo ya ziwa Tanganyika kupinga hoja ya waziri ya kulifunga ziwa kwa kipindi Cha miezi 3 ili kuruhusu samaki kuzaliana kwa wingi na kuingezeka.

Sisi wananchi tunakubaliana asilimia 100 na hoja ya waziri kwasababu tunauona samaki wanao vuliwa kwa sasa ni wadogo sana na wameadimika.

Mfano samaki aina ya Kuhe ambao zamani walikuwa wengi sana lakini kwa sasa kadiri siku zinavyo kwenda wanazidi kuadimika!!!

Samaki aina ya migebuka wanao patikana ni wadogowadogo!!!! Bei Iko juu.

Wabunge wetu acheni siasa kwenye mambo ya msingi kuweni wakeeli, Zingatieni masilahi ya wananchi sio kupinga tu kila kitu, hata sisi ambao sio wasomi tunaona kuna manufaa makubwa endapo ziwa litafungwa kwa muda kuliko Hali ilivyo sasa.

Sisi wananchi tunakubaliana na lengo la wizara kwa faida ya wavuvi, ni Bora tuvumilie kwa kipindi Cha miezi 3 ili tupate manufaa makubwa zaidi kuliko kubangaiza kama ilivyo sasa hakuna kitu.

Tunaiomba wizara iendelee na utaratibu ili kuinua uchumi wa wavuvi.

Wavuvi kutoka Pwani ya Kibirizi na katonga mkoani KIGOMA.

Wananchi washirikishwe Kikamilifu ili wajue faida ya zoezi hilo la kufunga ziwa.
Kibirizi eneo la migebuka kibao
 
Hili suala ni gumu sana halihitaji mihemko ya kisiasa ukweli uliowazi samaki wameadimika sana na wanao vuliwa ni uharibifu.

Lakini najaribu kuwa watu wa maeneo ya Katete,Chongokatete,Isaba,Kazovu,Mvuna,Manda( kerenge na ulwile),Karangu,Kirando,Kipili,Namansi,Kabwe,Korogwe nk watakuwa na maisha ya aina gani ? Na je wizara imejipanga vipi ?
Hilo la hao wakazi wa maeneo ya shughuli za kivuvi ndio kilio kikubwa kufungwa kwa Ziwa bila wao kuwa na mbadala wa shughuli za kuwaingizia kipato.

Serikali iwaandalie hao Watanzania wenzetu mbadala watakapofunga hilo Ziwa.
 
Wabunge wapo sahihi,watu wengi wanaoishi kuzunguka hili ziwa ni maskini ambao mahitaji yao ya kila siku wanayapata kwa kutegemea uvuvi kwa kiwango kiwango.

Ukifunga ziwa hili kwa miezi mitatu watu wengi wataishi maisha magumu sana na uhalifu utaongezeka.

Lakini pia ziwa hili linatumiwa na nchi ya Kongo na hatuwezi kuwazuia wavuvi wa Kongo wasivue samaki.

Kama serikali kama inataka kuongeza samaki ziwani basi wajenge mabwawa kuzunguka ziwa Tanganyika ambayo yatakuwa yanatumika kukuza vifaranga wa samaki na kuwaruhusu kuingia ziwani pale wanapokuwa wamekomaa tayari kuvuliwa.

Mpango huu unapaswa kushirikisha nchi zote mbili.
Congo wamekataa Ziwa lisifungwe.
 
Sababu kwao kinacho-matter ni sasa hivi, sio miaka kadhaa ijayo kwahio since samaki hawapigi kura na wapiga kura wanahitaji kula sasa hivi na sio kesho utaona ni kwanini wanafanya wanayoyafanya.
 
Back
Top Bottom