woiso woiso
Member
- Feb 20, 2021
- 47
- 44
Bungeni kuliulizwa swali la kifungwa kwa ziwa tanganyika kutokana na samaki kupungua na moja kwamoja majibu yalitolewa kua suala la kufungwa lilichululiwa baada ya samaki kupungua.
Swali la msingi ni Je?
1. Watafiti walitafiti upunguaji wa samaki?
2. Je wenye dhamana walijitangazia tu kufunga?
3 wananchi wanaofanya shughuli zao ziwani walishirikishwa kikamilifu?
4. Kama walishirikishwa taaarifa zilifafikia walengwa wote wabunge na mikoa Inayozungukwa na ziwapamoja na mamlaka shirikishi?
5. Wizara ilitathmini na kuona hatua wanazozichukua zina tija kwa wananchi wa chini na watumiaji wa ziwa.?
Wana Jamii mwenye ufafanuzi zaidi?