Uchaguzi 2020 Kwanini Wabunge wazoefu wa Upinzani hawajaenguliwa?

Hoja yako imejibiwa na paragraph hii;

"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."
Mpuuzi wew naona unatoa shuz tu
 
Mbona sasa wagombea wenu wameshindwa kujaza hizo fomu? Ina maana wajinga wengi wapo upinzani ndio maana wao pekee ndio walioenguliwa.

Wagombea wenu kuenguliwa kwa kukosea kujaza fomu ni aibu kwenu.
Hahaha na wagombea wa cuf, act na nccr au wao hawagombei msimu huu ni urais tu, kumsherehesha Magufuli?!

CHADEMA tu ndio hawana wanasheria?!

Ujinga mlionao ccm mnauweza wenyewe, na mnajiona wajanja na wenyeakili pia.

Nchi hii tupigane ndio tutaheshimiana.
 
..suala la wagombea ubunge wa ACT Pemba unalizungumziaje?

..maana wote ni wazoefu, walikuwa wabunge ktk bunge lililopita.

..lakini wote, jumla yao ni 18, wameenguliwa na Tume.
 
Huhitaji kufanya uchunguzi wa kina kugundua kama wapinzani nchini hawajajipanga

Ukiangalia utagundua wabunge wote wa upinzani wa kuchaguliwa ambao wana uzoefu bungeni hawajakutana na "panga" la kuwaengua kwa sababu kuu moja ambayo ni kujua vizuri taratibu za mchakato wa kuchukua fomu, kujaza kwa usahihi na kurudisha kwa wakati unaotakiwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za Uchaguzi.

Baadhi ya Wabunge waliokuwa wa viti maalum pia wameenguliwa kwa sababu nao hawana uzoefu katika mchakato kutokana na kuwa hawakuwahi kujaza fomu za kugombea ubunge bali walipewa ubunge kupitia vyama vyao.

Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao.

Wapinzani wataendelea kulalamika wakati tatizo na ufumbuzi wa tatizo uko ndani ya uwezo wao kama watajipanga vizuri.

Wapinzani kelele nyingi kwenye mitandao ya kijamii wakati masuala ya muhimu kwenye "ground zero" hawayafanyi kwa umakini.

Uchaguzi Mkuu ni mchakato na sio tukio.

Ikumbukwe kuwa Sheria hazina Siasa.

Kilichobaki kwa sasa ni kuhesabu maumivu!
You are off the point. It is deliberate disqualification.
 
Kwani wageni ni wapinzani peke yao, hakuna ccm mgeni uchaguzi huu?!

Mbona hawajaenguliwa ccm hata mmoja?!
Mmeambiwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na Wanasheria wao...¡¡
Kulikuwa na somo kubwa sana serikali za mitaa na nakumbuka Polepole alipata kueleza jinsi walivosimamia wagombea wao kujaza fomu lakini Upinzani umekalia maneno, bila kusaidia watu wake au kujifunza kutoka kwa wenzao leo wanakuja kulalamika.
 
Huhitaji kufanya uchunguzi wa kina kugundua kama wapinzani nchini hawajajipanga

Ukiangalia utagundua wabunge wote wa upinzani wa kuchaguliwa ambao wana uzoefu bungeni hawajakutana na "panga" la kuwaengua kwa sababu kuu moja ambayo ni kujua vizuri taratibu za mchakato wa kuchukua fomu, kujaza kwa usahihi na kurudisha kwa wakati unaotakiwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za Uchaguzi.

Baadhi ya Wabunge waliokuwa wa viti maalum pia wameenguliwa kwa sababu nao hawana uzoefu katika mchakato kutokana na kuwa hawakuwahi kujaza fomu za kugombea ubunge bali walipewa ubunge kupitia vyama vyao.

Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao.

Wapinzani wataendelea kulalamika wakati tatizo na ufumbuzi wa tatizo uko ndani ya uwezo wao kama watajipanga vizuri.

Wapinzani kelele nyingi kwenye mitandao ya kijamii wakati masuala ya muhimu kwenye "ground zero" hawayafanyi kwa umakini.

Uchaguzi Mkuu ni mchakato na sio tukio.

Ikumbukwe kuwa Sheria hazina Siasa.

Kilichobaki kwa sasa ni kuhesabu maumivu!
MsemajiUkweli . Kama kweli hao wapinzani wote wameenguliwa kwa sababu ya kukosea kujaza fomu basi mchakato wetu wa uchaguzi una walakini mkubwa sana. Kujaza fomu za uchaguzi ni tukio linalotakiwa kuwa straight foward na kusiwe kama mtihani kwa wagombea. Nia ya uchaguzi wowote ni kuwapa wananchi fursa ya kuchagua viongozi wenye sifa za ubora wa hali ya juu kutoka kwenye kundi la wagombea bora waliojitokeza. Kama zoezi la kujaza fomu linatoa loophole kwa baadhi ya viongozi kuondolewa kwa sababu tu ya kukosea kujaza na siyo kwa vigezo vya sifa basi tuna shida kubwa. Unajua mimi ni mmoja ya watu walishangazwa sana sana na fomu za rais Magufuli kuwekwa passport picha kama ile iliyotumika. Nimebaki najiuliza hivi hao wasaidizi wa rais walioshoghulikia hizo fomu wana weledi gani? Na ilikuwaje NEC wakubali kupokea fomu zenye picha kama ile? Lakini hata hivyo sidhani itakuwa ni busara Magufuli anyimwe fursa ya kugombea kwa sababu tu ya kosa kama hilo. Tukubali na tufanye mambo kama watu wenye nchi yenye watu wenye akili na makosa ya kumuengua mgombea yawe makosa kama udanganyifu, kukosa sifa eg uraia nk.
 
Hoja yako imejibiwa ndani ya mada na paragraph hii;
"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."
Hoja yako imejibiwa na sentens yangui ya kwanza...
 
Wabunge wazoefu wameogopwa maana wanajua kuliamsha dude chap.
Hizo ni hujuma kwa wapinzani.
Nani mwenye akili yake timamu na ameenda shule ashindwe kujaza fomu kwa ufasaha zilizoandikwa kwa Kiswahili?
Tumia akili zako japo kidogo mleta uzi.
 
Huhitaji kufanya uchunguzi wa kina kugundua kama wapinzani nchini hawajajipanga

Ukiangalia utagundua wabunge wote wa upinzani wa kuchaguliwa ambao wana uzoefu bungeni hawajakutana na "panga" la kuwaengua kwa sababu kuu moja ambayo ni kujua vizuri taratibu za mchakato wa kuchukua fomu, kujaza kwa usahihi na kurudisha kwa wakati unaotakiwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za Uchaguzi.

Baadhi ya Wabunge waliokuwa wa viti maalum pia wameenguliwa kwa sababu nao hawana uzoefu katika mchakato kutokana na kuwa hawakuwahi kujaza fomu za kugombea ubunge bali walipewa ubunge kupitia vyama vyao.

Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao.

Wapinzani wataendelea kulalamika wakati tatizo na ufumbuzi wa tatizo uko ndani ya uwezo wao kama watajipanga vizuri.

Wapinzani kelele nyingi kwenye mitandao ya kijamii wakati masuala ya muhimu kwenye "ground zero" hawayafanyi kwa umakini.

Uchaguzi Mkuu ni mchakato na sio tukio.

Ikumbukwe kuwa Sheria hazina Siasa.

Kilichobaki kwa sasa ni kuhesabu maumivu!

Tunajitia aibu tuu.. Yaani 95, 2000, 2005, 2010 na 2015 kila mtu alijua kujaza fomu ila 2020 kila mtu hajui kasoro CCM 😂😂😂
 
Hoja yako imejibiwa ndani ya mada na paragraph hii;
"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."

Sasa si ni bora hao wanasheria wenu ndio wawe wabunge maana wanajua kujaza fomu? Kama unapata ubunge kwa kusaidiwa kujaza fomu, si ni bora huyo anayejua kujaza fomu ndio awe mbunge?
 
Mmeambiwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na Wanasheria wao...¡¡
Kulikuwa na somo kubwa sana serikali za mitaa na nakumbuka Polepole alipata kueleza jinsi walivosimamia wagombea wao kujaza fomu lakini Upinzani umekalia maneno, bila kusaidia watu wake au kujifunza kutoka kwa wenzao leo wanakuja kulalamika.
Hahaha upuuzi huu, sasa form za ubunge na urais mnajaziwa mnaakili kweli?!
Kwanini hao wanasheria wasigombee hao mazuzu wakakaa majumbani?!
 
MsemajiUkweli . Kama kweli hao wapinzani wote wameenguliwa kwa sababu ya kukosea kujaza fomu basi mchakato wetu wa uchaguzi una walakini mkubwa sana. Kujaza fomu za uchaguzi ni tukio linalotakiwa kuwa straight foward na kusiwe kama mtihani kwa wagombea. Nia ya uchaguzi wowote ni kuwapa wananchi fursa ya kuchagua viongozi wenye sifa za ubora wa hali ya juu kutoka kwenye kundi la wagombea bora waliojitokeza. Kama zoezi la kujaza fomu linatoa loophole kwa baadhi ya viongozi kuondolewa kwa sababu tu ya kukosea kujaza na siyo kwa vigezo vya sifa basi tuna shida kubwa. Unajua mimi ni mmoja ya watu walishangazwa sana sana na fomu za rais Magufuli kuwekwa passport picha kama ile iliyotumika. Nimebaki najiuliza hivi hao wasaidizi wa rais walioshoghulikia hizo fomu wana weledi gani? Na ilikuwaje NEC wakubali kupokea fomu zenye picha kama ile? Lakini hata hivyo sidhani itakuwa ni busara Magufuli anyimwe fursa ya kugombea kwa sababu tu ya kosa kama hilo. Tukubali na tufanye mambo kama watu wenye nchi yenye watu wenye akili na makosa ya kumuengua mgombea yawe makosa kama udanganyifu, kukosa sifa eg uraia nk.
macho_mdiliko
Ninakubaliana na hoja yako.

Nadhani yaliyojitokeza iwe ni chachu katika kubadilisha sheria na Kanuni za uchaguzi katika chaguzi zijazo.
 
Huhitaji kufanya uchunguzi wa kina kugundua kama wapinzani nchini hawajajipanga

Ukiangalia utagundua wabunge wote wa upinzani wa kuchaguliwa ambao wana uzoefu bungeni hawajakutana na "panga" la kuwaengua kwa sababu kuu moja ambayo ni kujua vizuri taratibu za mchakato wa kuchukua fomu, kujaza kwa usahihi na kurudisha kwa wakati unaotakiwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za Uchaguzi.

Baadhi ya Wabunge waliokuwa wa viti maalum pia wameenguliwa kwa sababu nao hawana uzoefu katika mchakato kutokana na kuwa hawakuwahi kujaza fomu za kugombea ubunge bali walipewa ubunge kupitia vyama vyao.

Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao.

Wapinzani wataendelea kulalamika wakati tatizo na ufumbuzi wa tatizo uko ndani ya uwezo wao kama watajipanga vizuri.

Wapinzani kelele nyingi kwenye mitandao ya kijamii wakati masuala ya muhimu kwenye "ground zero" hawayafanyi kwa umakini.

Uchaguzi Mkuu ni mchakato na sio tukio.

Ikumbukwe kuwa Sheria hazina Siasa.

Kilichobaki kwa sasa ni kuhesabu maumivu!
Siyo kweli. Hakuna rocket science katika kujaza fomu hizo. Usifumbie macho uhuni wa wazi wa wakala wa Tume, Wakurugenzi. Baadhi yao umewasikia katika video Kibamba, Moshi, n.k. Wewe nahisi ni mtu wa haki, ungana na wapenda haki ukatae huo uhuni. Ni aibu kwa Taifa!
 
Hoja yako imejibiwa na paragraph hii;

"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."
Si kweli. Na Magufuli je, mbona hakujua kufuata sheria kuwa fomu zinahakikiwa na Tume siku ya uteuzi? Na ana uzoefu wa kugombea toka 1985 akipambana na Kabuye. Ondokana na kubariki dhuluma
 
Back
Top Bottom