Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,547
- 34,873
Ccm wana utaratibu mzuri wa kusimamia ujazaji fomu wa wagombea wao ili kuepuka dosari.Kwani wageni ni wapinzani peke yao, hakuna ccm mgeni uchaguzi huu?!
Mbona hawajaenguliwa ccm hata mmoja?!
Ila upinzani wameshindwa kuwasimamia wagombea wao wapya kujaza fomu kwa usahihi.
Kama hata kuwasimamia wagombea wao kujaza fomu kwa usahihi wameshindwa, je wanafaa kweli kuaminiwa na kupewa ruhusa ya kuunda serikali?