Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

Ngosha wa Mwanza omba yasikukute, wale wanaokwenda kujiripua kwa mabomu usidhani wanapenda, lakini dhuluma ndiyo inayowafanya kufikia hatua ile, ikiwa baba, mama, kaka wameuliwa na dada zako wamenajisiwa wewe utakuwa na moyo gani? Hiyo IQ unayoizungumzia utaifanyaje? Sisi watanzania tuombe amani usisikie kunako vita.
Usidanganye..labda amini hayo wewe binafsi,kupoteza ndugu jamaa zangu siyo sababu ya mimi kwenda kujiua na watu bwana.hapo hua kuna kitu ingine,tena unaweza kuta hua wanaamisha watu kua wamejilipua na kumbe unakuta kilichoenda kulipua ni midori tu mfano wa mwanadamu na inawezekana kabisa.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Kuuana kwao ni side effect ya mafundisho ya dini yao,
Unapomfundisha mwanao kuua ili kutetea dini,siku wa dini tofauti wa kumuua akikosekana ama wakikosana wao kwa wao watatumia mbinu hiyo hiyo kujitetea
 
Hadi kufikia mwaka 2002 oct Waarabu walikuwa ktk kiwango cha Amani na usalama ikkumbukwe pipa la
mafuta walikuwa wakiuza kwa $120 uchumi wenye furaha... Sasa hapo wajukuu wa Bwana Yesu na wajukuu wa mfalme Daudi wakaona Eeeee hapa tutarudishwa utumwani na tutakandamizwa tena !!
Ndipo genge la maImerialist na Zaiyonit kuanza kuvamia Ngome ya Mbabe Saddam
na kuvunja defense (ulinzi mkuu)
nakupandikiza fitina!!
ikumbukwe kuwa "Fitina ni kiza cha usiku wa manane" kila
mmoja atayaonja siku zijazo!!!
Mauaji ya CAR yanathibitisha !!
Ona aibu
 
Aibu nimeona !! baada ya kuelewa kuwa humu wapo wengi ni taahira... Kwa sababu hawajui UARABU ndo unaunganisha UBINAADAMU... billa hicho mataifa mengi ulimwenguni ni kama mbuga za seregenti "Mzungu kumnyanyapaa Mwafrika, na Mchina kumyanyasa muhindi na Mjapani kumkandamiza mkorea na Waafrika kudharauliana" tembea uone !!
 
Mkuu, wanakuambia duniani binadamu wenye highque ndogo akitoka muafrika anaingia muarabu,hawa watu ambao wamekosa elimu ya falsafa!! Wana elimu ya dini tu
:cool::cool::cool: wanajitakia wenyewe kukosa elimu ............ elimu unaifwata si inakufwata
 
Hadi kufikia mwaka 2002 oct Waarabu walikuwa ktk kiwango cha Amani na usalama ikkumbukwe pipa la
mafuta walikuwa wakiuza kwa $120 uchumi wenye furaha... Sasa hapo wajukuu wa Bwana Yesu na wajukuu wa mfalme Daudi wakaona Eeeee hapa tutarudishwa utumwani na tutakandamizwa tena !!
Ndipo genge la maImerialist na Zaiyonit kuanza kuvamia Ngome ya Mbabe Saddam
na kuvunja defense (ulinzi mkuu)
nakupandikiza fitina!!
ikumbukwe kuwa "Fitina ni kiza cha usiku wa manane" kila
mmoja atayaonja siku zijazo!!!
Mauaji ya CAR yanathibitisha !!
kumbe hawana akili na huenda hata mungu wanaye muamini hana nguvu kama Mungu wa wajukuu wa Mfalume Daudi ndo maana wamevurugwa
 
ulitakiwa ujiulize kama ni mbao mbona mnashindwa katika kila eneo na hao wanao amini katika yeye...elimu mmeshindwa..afya mmeshindwa...kila kitu
Ha ha h ha ha aha haaaaaaa..... eti elimu ? Samahani tuishie hapo.... inatosha !!!! (kuna elimu ya wizi/ufisadi/ubadhirifu/uporaji/nyang'anyi,nk nk) bora tuishie hapa !!
 
Si waarabu tu wa africa kwa ujumla vipi bokoharamu ni waarabu? somalia Alshabaab nao waarabu haya M23 congo nao waarabu au wanapigana na wazungu? Haya hapa kwetu wasiojulikana wanaoteka nakuua watu nao ni waarabu? Vipi kuhusu south sudani ni waarabu pia? haina shaka trump akasema shithole countries huezi kua mzima kichwani kama unaua ndugu yako.
 
IQ yetu iko juu kaka maana mbongo umpe Bomu akalipue watu hawezi Fanya ujinga huo maana ana uwezo WA kurizoni kwa nn aue na hiyo ndo IQ .sio unaambiwa kalipue unaenda tu kisa umedanganywa na mambo ya dini
Wanafikiri mwafrika kutokutengeneza bunduki kwa wingi wanajua ni mjinga. Huwezi tengeneza bunduki halafu irudi ikuue mwenyewe, mwafrika hakutaka ujinga huo.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Waarabu, Waajemi (waPersia), waSyria (Assyrians), waPakistani (Hindi) na Wapalestina.

Kinachofanya watu wawachanganye ni kwa sababu wengi wao ni waislamu.. Uislamu ndio unaowaunganisha kiimani ila ni watu tofauti kitamaduni..
Wafafanue zaidi na tamaduni zao.
 
Back
Top Bottom