Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

Population yao katika miaka kumi kumi inakuaje? Je, inapungua au inaongezeka? Hayo mauaji yana mchango kiasi gani kwenye kupungua hiyo population ukijuimuisha walio Arabuni na nje ya Arabuni?

Yawezekana hiyo ni moja ya natural population control. Nasema natural kwa sababu kwenye ubongo wao wamewekewa 'plug-in' ambayo inakuwa activated wanapoona misongamano!!
 
usilolijua,ni sawa na usiku wa giza

mtu anauzungumzia Uislam,Bila aibu,ilihali haujui kwa lolote

njooni katika Uislam,mpate salama na utamu wa kiroho
 
Watoto wa vichaa mmaAmini CNN,BBC Foxnews na wendawazimu wa media mongers
nendeni kwenye viwanja vya mpambano mkaone maRijali wanavyojitetea na kutetea rasilimali zao na ardhi zao!!!!! na mafuta yatarudi bei yake asili $200 per barrel kwenye mikono ya midume!!
Lini sasa,,
 
dini dini dini dini dini dini aah kidude kibaya sana dini wanefili wametia ndimu kali sana kwenye kidude dini,mtafuteni shetani yupo ulaya ili dunia iwe salama.hakikisheni kwa njia yeyote mmarekani anadrop hapo dunia itakuwa kama zamani.vinginevyo wote tutakuwa wapumbavu kila siku.
 
Watu wanaouwana wao kwa wao ni WASHENZI KABISA.

Sio waarabu tu ila hata watu weusi wauanao wao kwa wao ni washenzi tu.

Ila Waarabu ni Washenzi zaidi.....unajua kwann

Kwasababu wanaamini kuwa akimuua binadamu mwingine asie muislam yaani KAFIR kama mimi basi ataiona Pepo na kufaidi mema mengi ya peponi.
Totally wrong!!!
 
dini dini dini dini dini dini aah kidude kibaya sana dini wanefili wametia ndimu kali sana kwenye kidude dini,mtafuteni shetani yupo ulaya ili dunia iwe salama.hakikisheni kwa njia yeyote mmarekani anadrop hapo dunia itakuwa kama zamani.vinginevyo wote tutakuwa wapumbavu kila siku.
Marekani ndo anawashiia akili?,Marekani ndo anatoa amri kwamba wauane?,unataka kutuaminisha kwamba wao hawatumii akili kujua lipi baya na lipi jema?.
kuendekea kusingizia Marekani hakutatui matatizo..
 
Kasahau uamsho walikuwa wanafanya nini kule zanzibar hapa tusimung'unye Quraan haifundishi upendo wala kusameheani na hata mtume alikuwa ni mtu wa maugomvi tu nasikia ampaka mauti yana mkuta alikuwa hana jicho kama sikosei.Mtume alikuwa na kundi la wafuasi wake walikuwa wanaendesha harakati za kusilimisha watu ki ulazima la sivyo unauawa kwa jambia.
Haaaah aaah nmejikuta nacheka tu
 
Waafrika na waarabu ndiyo watu wenye low IQ hapa duniani. Mzungu ni kiumbe mwenye IQ kubwa ila mshenzi na mlafi kwa kuharibu na kufitinisha wengine. Kwa upeo mdogo wa waafrika na waarabu, wameweza kutuchambua kama karanga na kutufanya atakavyo. Ila ukifanya ranking, muafrika ni kiumbe mwenye low IQ akifuatiwa na mwarabu akiwa nafasi ya pili. Ukweli lazima usemwe hata kama mchungu.
Mkuu!!! Sankara,Stephen Biko,Martin Luther Jr,walikuwa na IQ ndogo?
 
Mkuu!!! Sankara,Stephen Biko,Martin Luther Jr,walikuwa na IQ ndogo?
Mkuu unapaswa kuelewa jambo moja. Tunaposema waafrika tuna low IQ haimaniishi hakuna waafrika wenye IQ nzuri na zilizoweza kuleta manufaa chanya kwa jamii zao; hali kadhalika, kwa wazungu pia, kusema kuwa wana uwezo mkubwa kuliko sisi haimaanishi hakuna wazungu 'vilaza'.
Na labda tu niseme ku-embrace qualities za aliyekuzidi si jinai na wala haimaniishu wewe ni duni na wala pia haimpi mamlaka aliyekuzidi kukutawala. Nadhani umenielewa mkuu.
 
kuna imani kwamba waarabu kwa sababu moja au nyingine wanawachukia kwa kiasi fulani raia wa nchi za ulaya magharibi. si ajabu sasa makundi ya kiarabu yenye msimamo mkali dhidi ya wazungu wa ulaya magharibi wakifanya mashambulizi ya kigaidi dhidi ya wazungu imma katika ardhi yao au wakiwa popote duniani, makundi haya ya kiarabu hujitokeza na kutangaza hadharani kuwa yamehusika kutekeleza uhalifu huo.

ajabu sasa inakuja pale makundi haya haya ya kiarabu yanapofanya uhalifu uleule au uliopitiliza katika nchi zao zilezile za kiarabu dhidi ya raia wenzao kabisa wa kiarabu.

sikiliza habari mara nyingi tu utasikia bomu limeripuka pakistani, au afghanistani au iraq au syria popote lakini wahusika na wahanga wakubwa wa matukio haya ni waarabu wenyewe katika ardhi za babu zao wenyewe.

swali ni je, kwa nini waarabu wanauana wao kwa wao namna hii?

Tatizio kubwa kichwani mwako ni kutokuwa na elimu ya ufahamu wa vita zilizo wahi kutokea na zanazotokea ulimwenguni sehemu mbaliambali mataifa na makabila. mbali mbali, kwa zama mbalimbali,
kwanza ungejiuliza kabla ya waarabu kuuwana, duniani kulikuwa hakuna vita vya watu kupigana wao kwa wao,? povu ulilo uliza hapa laonyesha kuwa waarabu ndio taifa la kwanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe kama ungekuwa na elimu au ufahamu huo usingejipinda na kupoteza MB bure kwa kuuliza upuuzi kama huu,
Lakushangaza pia wamepatikana zezeta wa fikra wengi wakichangia eti oh UISLAAM, amakweli nimeamini uzezeta wa fikra MZIGO, wale WAKURYA wa Mara ( musoma ) kila kunapo kucha wanachinjana na mtu hatosheki kuchinja ukoo mzima mpaka ngo'mbe na mbuzi na panya wa ukoo ule anachinja, hawo nao pia ni WAISLAAM ? mbona wamesheheni UGALATIA
wale wa Ireland kaskazini wameuwana wao kwa wao hawakutosheka mpaka wamechomeana majumba na mashamba nao ni WAISLAM ? mbona wamesheheni UGALATIA,
ZAIRE, RWANDA, na sehemu zingine ulimwenguni, huko kote MBUZKATO hamuwoni mmeona kwa WAARABU tu.
Indonesia takriban 90% ni waislam mbona halijatokea hilo kama kigezo ni Uislaam
 
Kwa kawaida watu wa jamii za kifugaji huwa wagomvi na wenye kupiganapigana sana. Sasa ukichanganya mazingira magumu ya jangwani ndiyo hulka ya kupigana huwa kubwa zaidi. Mambo ya kupigana ni utamaduni wa muda mrefu wa waarabu.
 
Warabu hawauani ila wanachonganishwa.
Akili ndogo ndio maana wanachonganishwa.

Back
Top Bottom