Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 943
- 888
Ni?Wapakistani na Waafghanistani sio waarabu kabisa. Hata Iraq wengi wao sio waarabu.
Ni?Wapakistani na Waafghanistani sio waarabu kabisa. Hata Iraq wengi wao sio waarabu.
Alikwambia na mwanamke atapata nini?mkuu na rafiki yangu muislamu yani alivyokuwa ananielezea kuhusu hao mabikra 72 lazima utamani kuwapata na tatizo kubwa kabisa paka wanafanya haya mambo ya kuuwana wenyewe kwa wenyewe ni dini yao na kitabu chao
Tunaloweka tuUoga tu,mbona kwenye ngono zembe hatufikiriagi mara mbili.tunaloweka tu.
Uko kote ulikukoja hawakutumia dini kuharalisha mauaje lakini waraabu wanatumia vifungu vya dini kuharalisha umwagaji damuTatizio kubwa kichwani mwako ni kutokuwa na elimu ya ufahamu wa vita zilizo wahi kutokea na zanazotokea ulimwenguni sehemu mbaliambali mataifa na makabila. mbali mbali, kwa zama mbalimbali,
kwanza ungejiuliza kabla ya waarabu kuuwana, duniani kulikuwa hakuna vita vya watu kupigana wao kwa wao,? povu ulilo uliza hapa laonyesha kuwa waarabu ndio taifa la kwanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe kama ungekuwa na elimu au ufahamu huo usingejipinda na kupoteza MB bure kwa kuuliza upuuzi kama huu,
Lakushangaza pia wamepatikana zezeta wa fikra wengi wakichangia eti oh UISLAAM, amakweli nimeamini uzezeta wa fikra MZIGO, wale WAKURYA wa Mara ( musoma ) kila kunapo kucha wanachinjana na mtu hatosheki kuchinja ukoo mzima mpaka ngo'mbe na mbuzi na panya wa ukoo ule anachinja, hawo nao pia ni WAISLAAM ? mbona wamesheheni UGALATIA
wale wa Ireland kaskazini wameuwana wao kwa wao hawakutosheka mpaka wamechomeana majumba na mashamba nao ni WAISLAM ? mbona wamesheheni UGALATIA,
ZAIRE, RWANDA, na sehemu zingine ulimwenguni, huko kote MBUZKATO hamuwoni mmeona kwa WAARABU tu.
Indonesia takriban 90% ni waislam mbona halijatokea hilo kama kigezo ni Uislaam
Well saidUko kote ulikukoja hawakutumia dini kuharalisha mauaje lakini waraabu wanatumia vifungu vya dini kuharalisha umwagaji damu
Wapo wengi wabaotumia vifungu vya dini,ukisngalia Askofu Kibwetere,alivyoua maelfu,ndani ya kanisa,alitumia vifungu vya dini.Uko kote ulikukoja hawakutumia dini kuharalisha mauaje lakini waraabu wanatumia vifungu vya dini kuharalisha umwagaji damu
Jiulize karne ipi waliuwana na waarabu wanauana karne ipi utajua maana kustarabika na kujutambua kama ulikiseaWapo wengi wabaotumia vifungu vya dini,ukisngalia Askofu Kibwetere,alivyoua maelfu,ndani ya kanisa,alitumia vifungu vya dini.
Waprotestant na wakatoliki,wanauwana kwa kutumia vifungu vya dini.
Lord Resistant Army,wanaua kwa kutumia vifungu vya dini. Nk
Kuna tofauti kubwa kati ya Waarabu, Waajemi (waPersia), waSyria (Assyrians), waPakistani (Hindi) na Wapalestina.
Kinachofanya watu wawachanganye ni kwa sababu wengi wao ni waislamu.. Uislamu ndio unaowaunganisha kiimani ila ni watu tofauti kitamaduni..
Haya yote yalikuwa nyakati gani
Syria na Palestine ni waarabu soma hii. "The Arab World consists of 22 countries in the Middle East and North Africa: Algeria, Bahrain, the Comoros Islands, Djibouti, Egypt, Iraq, Jordan, Kuwait, Lebanon, Libya, Morocco, Mauritania, Oman, Palestine, Qatar, Saudi Arabia, Somalia, Sudan, Syria, Tunisia, the United Arab Emirates, and Yemen."
Usichanganye lugha inayowaunganisha na "ethnicity" yao..Syria na Palestine ni waarabu soma hii. "The Arab World consists of 22 countries in the Middle East and North Africa: Algeria, Bahrain, the Comoros Islands, Djibouti, Egypt, Iraq, Jordan, Kuwait, Lebanon, Libya, Morocco, Mauritania, Oman, Palestine, Qatar, Saudi Arabia, Somalia, Sudan, Syria, Tunisia, the United Arab Emirates, and Yemen."
Usichanganye lugha inayowaunganisha na "ethnicity" yao..
Ni sawasawa kusema Wazambia, Wamalawi na Wajamaica ni waingereza kwa kuwa wanaongea kiingereza.
Lugha ya kiarabu ina lahaja (dialects) nyingi na vilevile lugha nyingi huwa pia zinaandikwa kwa herufi za kiarabu (hata Kiswahili kabla hakijaandikwa kwa herufi za kilatini kiliandikwa kwa kiarabu). Hivyo watu wengi huchanganya na kwa kutaka urahisi huwajumuisha wote kuwa ni waarabu.
Ingawaje waTunisia wanajiita ni waarabu lakini kiasili sio, hata waMisri ingawaje wapo katibu sana na saudia hawataki waitwe waarabu.
Ingia wewe google uone jibu utakalopata ndio uliweke hapa?Soma zaidi huko ndani ya syria na Palestine na baadhi ya nchi hizo ulizoziandika, kuna watu aina ngapi , ingia google ???
Wewe labda unaangalia lugha
Ni kweli...mauaji yanatokea sehem nyingi sana hapa duniani....issue ni nani anareport na kwa interest gan?!Rejea :-
Mauaji ya Rwanda 1994
Mauaji ya Biafra Nigeria 1970s
Mauaji ya Ethiopia
Mauaji ya Bagsnda Uganda
Mauaji ya leo hii South Sudan
Mauaji ya Somalia
Mauaji ya Zaire / DRC
Mauaji ya Angola
Mauaji ya WW1 vita ya ulimwengu 1 na pili
vita vya Vietnam mk nk
Robert James Masunga
Syria na Palestine ni waarabu soma hii. "The Arab World consists of 22 countries in the Middle East and North Africa: Algeria, Bahrain, the Comoros Islands, Djibouti, Egypt, Iraq, Jordan, Kuwait, Lebanon, Libya, Morocco, Mauritania, Oman, Palestine, Qatar, Saudi Arabia, Somalia, Sudan, Syria, Tunisia, the United Arab Emirates, and Yemen."
Mbona tafiti zinaonesha " HIGHQUE " haina uhusiano na asili ya mtu?Mkuu, wanakuambia duniani binadamu wenye highque ndogo akitoka muafrika anaingia muarabu,hawa watu ambao wamekosa elimu ya falsafa!! Wana elimu ya dini tu
Mbona hata sie Waafrika tumeuana sana tu na pahala pengine bado mauaji yanaendelea kama DRC na Sudani Kusini? Kwa Waarabu inakuwa ajabu!!Warabu hawauani ila wanachonganishwa.