Robert James Masunga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 414
- 395
kuna imani kwamba waarabu kwa sababu moja au nyingine wanawachukia kwa kiasi fulani raia wa nchi za ulaya magharibi. si ajabu sasa makundi ya kiarabu yenye msimamo mkali dhidi ya wazungu wa ulaya magharibi wakifanya mashambulizi ya kigaidi dhidi ya wazungu imma katika ardhi yao au wakiwa popote duniani, makundi haya ya kiarabu hujitokeza na kutangaza hadharani kuwa yamehusika kutekeleza uhalifu huo.
ajabu sasa inakuja pale makundi haya haya ya kiarabu yanapofanya uhalifu uleule au uliopitiliza katika nchi zao zilezile za kiarabu dhidi ya raia wenzao kabisa wa kiarabu.
sikiliza habari mara nyingi tu utasikia bomu limeripuka pakistani, au afghanistani au iraq au syria popote lakini wahusika na wahanga wakubwa wa matukio haya ni waarabu wenyewe katika ardhi za babu zao wenyewe.
swali ni je, kwa nini waarabu wanauana wao kwa wao namna hii?