Kwanini Vitu Vinadondoka? (Newton vs Einstein)

Huu ni uonezi tu. Physics tuliyosoma advance haikucover haya mambo na unajua Tz hatusoamgi haya labda kwa mtu mwenye interest nayo. Sasa kuja hapa na kuwananga wwtu kuwa vilaza, hawaelewi, IQ ndogo unakuwa siyo uungwana.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
100% umeelewa!
Ni experiment ambayo ni rahisi kuifanya hata ukiwa nyumbani

The same na mtu ambaye yupo kwenye lift "elevator" inayoshuka chini
Kwa bahati mbaya hii cable au kama inayoshikilia hii elevator ikikatika kwa sababu yoyote ile ya kiufundi
Huyu mtu "ata feel weightless"
Ataelea ndani ya elevator pamoja ni vitu vyote vilivyopoa ndani

Kama yupo juu sana..."imagine anachukua Siku Siku mbili kutoka juu mpaka chini"
Basi experience ya huyu mtu haitokua tofauti na mtu aliye kwenye "outer space" ambayo tunajua "Hakuna Gravity"

Hapa ndipo "Principle of Equivalent" ilipokuja kama hakuna namna ya kutofautisha hizi "situations" mbili

Yaani "Weightlessness" ya mtu anayeanguka kwenye elevator na "Weightlessness" ya mtu aliye kwenye outer space ambapo hakuna Gravitation (F=0)
..
Basi hizi situations mbili ni sawa,means pote F =0

Kama F=mg na F=0 basi g=0 pia kwasababu only parameter ambayo haiwezi kuwa 0 ni mass(m)

Hii principle ndio msingi wa General Relativity
Kama Hakuna Force yoyote inayo act katika Frame of reference ya elevator

Inabidi tuje na maelezo mengine kwanini huyu tunamuona "akidondoka kutoka chini"

Na Haya maelezo ndio "New Physical interpretation ya Gravitation"
From "force" to "Curvature of spacetime"

So swali langu lilikua ni hilo kwanini vitu vinaonekana kudondoka kulingana na hii interpretation mpya ya GR...(ambayo ndio standard Interpretation kwa sasa)

Bahati mbaya sijapata jibu till now

"Kwanini vitu vinaonekana kudondoka"?
Hili swali sio jepesi kama linavyonekana

General Relativity inanambia ni " time component " ya spacetime ndiyo inayofanya vitu vionekane kudondoka
"Cause they are moving forward into the future"
Very confusing

Nilikuja hapa kupata guide kwa walisoma Relativity bahata mabaya nimejikuta nafundisha Relativity tena
Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini vitu vinadondoka?

Hili swali kwa muda mrefu nilikua nalichukulia poa (take for granted) lakini sasa nakili kuwa ni moja kati ya maswali magumu zaidi kuwahi kuulizwa na binadamu.

Ukiacha Programming kitu kingine ninachokipenda ni Modern Physics, nasoma basics tu niweze kuelezea ulimwengu ninao interact nao kila siku baada ya Computer

So nilikua naamini kabisa kuwa naweza kuelezea kwanini vitu vinadondoka? Kwanini jiwe linarudi chini ukilirusha juu?
Kwanini apple linaanguka juu ya mti?

Isaac Newton alitupa Formula sahihi(kiasi) ila maelezo ya "uongo" kuhusu kwanini vitu vinadondoka

Kwa mujibu wa Sir Isaac Newton, jiwe linadondoka kwasababu kwasababu ya nguvu ya uvutano kati yake na Dunia. nguvu hii ya uvutano ndiyo inayofanya jiwe livutwe chini kwa kasi ya mita 9.8 kwa kila sekunde ya kila sekunde (acceleration due to gravity)

Na hayo maelezo ya uongo nimekua nikiyaamini mpaka hapo juzi nilipopata nafasi ya kujifunza General Relativity. Na nilichogundua ni kuwa, siwezi tena kuelezea kwa nini jiwe au kitu chochote kinadondoka

Naamini kuna watu smart humu waliosoma General Relativity au kuielewa, wanaweza kutuelezea kwanini vitu vinaanguka..

Kwanini Newton hakua sahihi?

Newton hakua sahihi kwa sababu hii

Imagine umeshika chupa iliyojaa maji (umeinyanyua)
ukiachia hii chupa, itandondoka chini sio?

Hapana, chupa haitondondoka

Chupa haitondoka kwasababu hakuna nguvu yoyote inayoivuta hio chupa. Ku prove hili, tutoboe matundu mawili katikati ya hio chupa
Kipindi tumeishikilia (maji yatamwagika chini kupitia yale matundu) ila tutakapo iachia maji hayatomwagika tena hata kama chupa ina matundu. so hakuna force yoyote inayovuta yale maji tena.

Kwa mjibu wa Newton first law of motion, hii chupa itaganda pale pale kwasabau kama F=ma , m=mass ya chupa ya maji , a= acceleration na F= 0 (kwasababu hakuna nguvu yoyote inayoivuta) basi a=0 (haitodondoka)
kumbuka m > 0 (chupa always ina mass)

Sasa swali linabaki kwanini hii chupa tunaiona ikishuka kutoka juu mpaka chini?
Au kwanini vitu vinaonekana kudondoka?

UPDATE:
Wazee naona kama baadhi hamjaelewa swali au lengo la huu uzi

Swali ni hili "Kwanini vitu vinadondoka?"

NOTE: usitumie classical mechanics kujibu hili swali thus why nimeanza kuonyesha hapo juu kwanini classical mechanics haiwezi kujibu swali hilo

Nilichokiona mimi ni kuwa, umeiketa mada nzuri sana sehemu ambayo si pake,ukitaka kuona hilo soma maoni ya mdau kwenye comment namba 2.

Kwanini vitu vinaanguka kwenda chini, hii ni sababu ya "Contingent Fact".

Swali, wakati gani "Fact" huwa "Contingent" ?

Taarifu/Maana/Definition
"A fact is contingent when it could have been otherwise"
 
At least nimeona comment ya mtu tunayoweza kuelewana

Still watu wana struggle kujibu hili swali kwa kutumia "Classical Mechanics"
Ni ngumu sana kuelewana
Bado naendelea kuisoma theory ya 8th dimensions maana inaonesha ni promising kwenye kuleta majibu ya universe...na inaweza ku-determine kila kitu kwenye forces zetu za universe, etc.

Mi mwenyewe, kuhusiana na forces za outer space na ndani, napata ukakasi mwingi.

Kinadharia ni kama ulivyosema, na kivitendo, upo uwezekano ndani ya dunia, Gravity inaplay role kubwa ku-mess up almost every object, hata kwenye mfano wako.

Maji yanapokuwa akwenye chupa, ukiirusha inarudi chini, na ukiitoboa, yanaacha, (ila yanafuata force ya chupa au kuachana nayo kwa muda kisha yanashuka chini, kama ukiangalia kwenye slo-mo.)

Nadhani hii husababishwa na jinsi liquid inavyojishape kwenye solid object.

Nilifanya pia na kuangalia slo-mo videos za maji yaliyo kwenye puto na kupasuliwa na kitu chenye ncha.

Kulingana na elasticity, etc. Puto limepasuka na kuruka juu, maji yamehama shape na kuanza kuruka juu, kabla ya kutua chini.

Huenda kukawa na signs kuwa force of gravity, muda mwingine inazidiwa na nguvu zingine za uvutani au za mwendo. Huenda ikawa za dunia kujizungusha kwenye mhimili wake, dunia kulizunguka jua na zile forces za kwenye orbit ya dunia, etc.

Huenda zisiwe observed easily au kufanyiwa tafiti za kutosha, but zinakuwa applicable kwa kiasi chake before gravity rules anything within.

Kwa outer space, ni nvunu kuprove kwa sababu, kuna mengi zaidi.

Coz ili kitu kielee...na kwa space kuwa vacuum, still kuna objects, zinazoelea kuna muda zinapata kasi kwa kadri zinavyoelea mpaka kufikia very maximum na kuwa moto au kuwa destructed.

Anyway, naendelea kusoma, so, maybe huenda nikapata majibu mbeleni.

Na yes, sina foundation nzuri ya physics, so, kuprove kwa ma-calculations huenda nikapata ukakasi kidogo, wakuu naomba mnisamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's due to gravitational force that attracts all objects towards the center of the earth.
Hivi ni kweli kitu kikiwa kinadondoka mathalani jiwe limerushwa kwenda juu, likishuka chini linakuwa limevutwa ? Yaani kuna vitu vingine hata lugha tu inakataa, ndiyo maaa Aristoto (Japo simkubali ila matumizi ya kugha kidogo aliyapa kipao mbele sana).
 
Usinge comment Mzee.....
Niamini Mimi

Nahisi hujui hata General Relativity ni kitu gani
Hizi ndiyo tabia za wadau wengi wa jf, hapo ndiyo amemaliza, badala ya kujenga hoja analeta viroja. Analeta habari za jopo ukimuomba ushahidi wa jopo hilo hawana, lakini tunaangalia ukweli wa mambo hata wakae jopo la watu elfu wakakubaliana jambo, haimaanishi wamepatia.
 
Kwamba vitu tukiviachia/ visiposhikiliwa hua havidondoki ila vinaonekana kudondoka? ( unaweza kuwa na hoja ila hadi sasa, ni rahisi zaidi kumwelewa Newton kuliko maelezo yako mkuu).
Nilichomuekewa mtoa mada ni kuwa amerejea maelezo ya Newton kwa kuhusisha na force of attraction ya Newton, ila hakuweka neno stahiki, lakini anaeleweka, yaani kwa ufasaha ni kuwa "Kwanini vitu vikirushwa kwenda juu hurudi chini pindi vikiwa huru hila kizuizi chochote".

Kuna vitu vingine laiti kama tungekuwa tunafikiria tungehitimisha ya kuwa wanasayansi hasa wa fizikia walikuwa wazembe na wapenda "shortcut" sana na kuna vitu vingine vilikuwa havina haja ya kujiuliza na hatimae wakaweka "Assumptions" kibao ili kanuni zao zikubali, huku walishindwa pakubwa mno.

Sababu iko wazi kabisa kitu lazima kirudi kilipo toka endapo,huka sababu ya kukifanya kisirudi chini.
 
Hapa ndio ile sheria iliyosemwa kuwa mass (hata kama ni 0) itafuata tuu law of gravity over time (futuristic of the event)

Ni nature, hata kama mass ikiwa 0, in a few time, kila kitu lazima kirudi chini.

Maybe kina gain weight ndani ya gravity, sawa, au maybe its just that. Ndio maana, ukiwa nje ya space unaweza kufanya lolote au kuelewa coz law of gravity haifanyi kazi.

Alafu point ingine ni kuwa, kwenye ndani ya dunia, Gravity ndio baba lao. Whether in few mili-seconds, or mins, anything has to come to the ground. Thats the rule. Maybe coz Air sio rafiki mzuri wa object yoyote ile, hata ikiwa haina mass.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu ambacho naona umeshindwa kuelewa hapa ni Physical Explanation ya Gravitation

In Newtonian Mechanics, gravity is quatify as force kwa vitu venye low velocity and less mass, kwahiyo in primitive explanation ni vizuri ukiwafundisha watoto wa shule kuwa gravity is a form of force exerted by a mass to accelerate in 9.8m/s in free fall

Lakini General relativity, free fall of an object is not resulted to gravitational force at a distance(classical mechanics) but are the result of the curvature of space-time, Matter tells space-time how to curve, and space-time tells matter how to move.
Kwahiyo vitu vinaonekana vinadondoka si kwa sabau ya nguvu ya mvutano bali ni kufuata geodesic in space-time curvature.

"In general relativity, a geodesic generalizes the notion of a "straight line" to curved spacetime. ... In other words, a freely moving or falling particle always moves along a geodesic." and is commonly a curve representing in some sense the shortest path (arc) between two points in a surface

Just like the Sun, due its mass it bends the spacetime na sayari zote zinakuwa kama zinaangukia kwenye shimo lilitokana na uzito au mass of the sun, ambapo utajiuliza kwa hiyo siku moja sayari zitamezwa na jua, lakini utafiti unaonyesha as the mass of the sun is decreasing kwahiyo sayari zina move away from the sun,

1615765312311.png
 
Sasa wewe ulicho comment hapo ni nini?
Watu wengine vichefu chefu kweli
Umetumia kanuni ya pili ya Nyutoni kuwa F=ma kwa kupotosha na kuhitimisha kuwa kwa vile F=0 basi chupa haitaanguka ikiwa ni kuonyesha kuwa unadharau kanuni kuu ya mvutano inayoonyesha kuwa kila kitu chochote chenye msongano basi pia kina uzito W ambayo ni kani inayokivuta chini kwa kasi ya mvuto ya g=9.81m/s^2, kwa hiyo W=mg. F inakuwa W na a inakuwa g
 
View attachment 1726024
Newtonian mechanics ni kwa sababu ya objects zenye mass kubwa na spidi ndogo wakati relativity ni kwa particles zenye mass ndogo sana na spidi kubwa sana (spidi ya mwanga).
 
"Relativity ni kwa particles zenye mass ndogo sana"

Rejea hii kauli yako hapo juu,utaona ulivyo na uelewa hafifu kuhusu Relativity

General Relativity ni very useful haswa tunafika katika cases za vitu vyenye mass kubwa mno.....
 
Umetumia kanuni ya pili ya Nyutoni kuwa F=ma kwa kupotosha na kuhitimisha kuwa kwa vile F=0 basi chupa haitaanguka ikiwa ni kuonyesha kuwa unadharau kanuni kuu ya mvutano inayoonyesha kuwa kila kitu chochote chenye msongano basi pia kina uzito W ambayo ni kani inayokivuta chini kwa kasi ya mvuto ya g=9.81m/s^2, kwa hiyo W=mg. F inakuwa W na a inakuwa g
Kwa Mara nyingine hapa unaonyesha kuingia kwenye mjadala bila hata kuelewa kipi kinajadiliwa

Point yangu ni kuonyesha kwanini "Equivalent Principle" ina "prove" logically kuwa "kitu chochote kilicho kwenye free fall" ni inertial frame of reference sawa sawa kabisa na kitu chochote kilicho mbali na force yoyote ile / sawa kabisa na kitu kilicho tulia kwenye ombwe tupu (outer space)

So kiuhalisia hai accelerate downwards kama tunavyokiona,kipo stationary

Inibidi tuje na maelezo mengine ya how "kinafika chini" wakati kipo stationary

General Relativity imetoa maelezo yake na hayo maelezo ndiyo yaliyofanya nije hapa
Cause kwa kiasi yamenichanganya

But from what I learned ni kuwa
Temporal part ya spacetime continuum ndiyo inayo tupa hii illusion of falling

Teknologist hapa juu katoa jibu zuri kuwa "vitu vina fata Geodesic"
Hii kwenye non euclidian geometry ni "straight line" inayo appear kuwa "curved"

The question is "vipi kitu kina move along geodesic wakati kipo stationary"

Nikipata mda Nita weka comment yake hapo kwenye bandiko langu

Cause hayo ndio aina ya majibu yaliyotakiwa kwenye huu Uzi

Tatizo wewe ume focus kwenye classical Mechanics wakati tayari nimeshajaribu kuonyesha why hatupaswi kuitumia
 
Inawezekana kweli sijajua mtazamo wako; nilikupa view ya applied physics yenye tangible results. Ukweli ni kuwa mashine kama magari, ndege, maroketi na sattelites zote hufanya kazi kwa misingi ya Newtonian Mechanics, na wala theory hiyo ya Newton haijawahi kusababisha failure yoyore kwenye mashine hizo - Eulerian, Lagrangian na Hamiltonian mechanics ni descendants wa Netonian Mechanics. Mpaka leo theory ya relativity inatumika kwenye nguvu za nuclear tu ambayo inatokana na particle ndogo sana zikuhusisha spidi kubwa!
 
Kwanini vitu vinadondoka?

Hili swali kwa muda mrefu nilikua nalichukulia poa (take for granted) lakini sasa nakili kuwa ni moja kati ya maswali magumu zaidi kuwahi kuulizwa na binadamu.

Ukiacha Programming kitu kingine ninachokipenda ni Modern Physics, nasoma basics tu niweze kuelezea ulimwengu ninao interact nao kila siku baada ya Computer

So nilikua naamini kabisa kuwa naweza kuelezea kwanini vitu vinadondoka? Kwanini jiwe linarudi chini ukilirusha juu?
Kwanini apple linaanguka juu ya mti?

Isaac Newton alitupa Formula sahihi(kiasi) ila maelezo ya "uongo" kuhusu kwanini vitu vinadondoka

Kwa mujibu wa Sir Isaac Newton, jiwe linadondoka kwasababu kwasababu ya nguvu ya uvutano kati yake na Dunia. nguvu hii ya uvutano ndiyo inayofanya jiwe livutwe chini kwa kasi ya mita 9.8 kwa kila sekunde ya kila sekunde (acceleration due to gravity)

Na hayo maelezo ya uongo nimekua nikiyaamini mpaka hapo juzi nilipopata nafasi ya kujifunza General Relativity. Na nilichogundua ni kuwa, siwezi tena kuelezea kwa nini jiwe au kitu chochote kinadondoka

Naamini kuna watu smart humu waliosoma General Relativity au kuielewa, wanaweza kutuelezea kwanini vitu vinaanguka..

Kwanini Newton hakua sahihi?

Newton hakua sahihi kwa sababu hii

Imagine umeshika chupa iliyojaa maji (umeinyanyua)
ukiachia hii chupa, itandondoka chini sio?

Hapana, chupa haitondondoka

Chupa haitondoka kwasababu hakuna nguvu yoyote inayoivuta hio chupa. Ku prove hili, tutoboe matundu mawili katikati ya hio chupa
Kipindi tumeishikilia (maji yatamwagika chini kupitia yale matundu) ila tutakapo iachia maji hayatomwagika tena hata kama chupa ina matundu. so hakuna force yoyote inayovuta yale maji tena.

Kwa mjibu wa Newton first law of motion, hii chupa itaganda pale pale kwasabau kama F=ma , m=mass ya chupa ya maji , a= acceleration na F= 0 (kwasababu hakuna nguvu yoyote inayoivuta) basi a=0 (haitodondoka)
kumbuka m > 0 (chupa always ina mass)

Sasa swali linabaki kwanini hii chupa tunaiona ikishuka kutoka juu mpaka chini?
Au kwanini vitu vinaonekana kudondoka?

UPDATE:
Wazee naona kama baadhi hamjaelewa swali au lengo la huu uzi

Swali ni hili "Kwanini vitu vinadondoka?"

NOTE: usitumie classical mechanics kujibu hili swali thus why nimeanza kuonyesha hapo juu kwanini classical mechanics haiwezi kujibu swali hilo
Bwana mdogo una mix mambo..huo mfano wa chupa. Rudi kwenye fluid dynamics ujue pressure ina behave vip na kuathiri vip F.

Pia jiulize ukiwa outerspace ukimwaga maj na hyo chupa..what happens...pale tunapoassume g=0....anzia ku assume g=0

Ingia youtube angalia video za astronauts kule juu wakimwaga vitu au wakiachia vtu vina behave vp.. .halafu imagine your moving towards earth hadi kwenye surface.
 
Kwa Mara nyingine hapa unaonyesha kuingia kwenye mjadala bila hata kuelewa kipi kinajadiliwa

Point yangu ni kuonyesha kwanini "Equivalent Principle" ina "prove" logically kuwa "kitu chochote kilicho kwenye free fall" ni inertial frame of reference sawa sawa kabisa na kitu chochote kilicho mbali na force yoyote ile / sawa kabisa na kitu kilicho tulia kwenye ombwe tupu (outer space)

So kiuhalisia hai accelerate downwards kama tunavyokiona,kipo stationary

Inibidi tuje na maelezo mengine ya how "kinafika chini" wakati kipo stationary

General Relativity imetoa maelezo yake na hayo maelezo ndiyo yaliyofanya nije hapa
Cause kwa kiasi yamenichanganya

But from what I learned ni kuwa
Temporal part ya spacetime continuum ndiyo inayo tupa hii illusion of falling

Teknologist hapa juu katoa jibu zuri kuwa "vitu vina fata Geodesic"
Hii kwenye non euclidian geometry ni "straight line" inayo appear kuwa "curved"

The question is "vipi kitu kina move along geodesic wakati kipo stationary"

Nikipata mda Nita weka comment yake hapo kwenye bandiko langu

Cause hayo ndio aina ya majibu yaliyotakiwa kwenye huu Uzi

Tatizo wewe ume focus kwenye classical Mechanics wakati tayari nimeshajaribu kuonyesha why hatupaswi kuitumia
Nasikia kuna "Chameleon Theory" hii imekuja baada ya General Relativity, hii mnaizungumziaje ?

Maana naona mbwembwe za Wanasayansi na vimbwanga vyao haviishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom