kwanini vitu HARAMU vinapendwa sana

kwanini vitu HARAMU vinapendwa sana

licha ya makatazo kutokana madhara lakini vifuatavyo vinapendwa sana na kutumika bila kujari matokeo why:-

1. Rushwa
2. bange
3. nguruwe
4. kabaaang
5. sigara
6. mke wa mtu
7. Pombe
8. mchepuko
9. unga

sijui kwanini watu hawaachi!

Kipengele cha tatu "Ngurue" si haramu, haramu ni "O" so change. Kwa nini nasisitiza si haramu? Alicho umba Mungu si haramu, haram ni kile kitokacho kinywani mwetu na si kiingiacho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom