kwanini vitu HARAMU vinapendwa sana

kwanini vitu HARAMU vinapendwa sana

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,222
licha ya makatazo kutokana madhara lakini vifuatavyo vinapendwa sana na kutumika bila kujari matokeo why:-

1. Rushwa
2. bange
3. nguruwe
4. kabaaang
5. sigara
6. mke wa mtu
7. Pombe
8. mchepuko
9. unga

sijui kwanini watu hawaachi!
 
wewe kati ya hivyo ulivyotaja unatumia kipi?
 
Ongezea -

Meno ya tembo, pembe za ndovu
 
2&7 havina shida kama utaweza kuvicontrol, Nguruwe sio haram kabisa naomba ufute huo usemi
 
Nguruwe hapana ..ya kurost na dona ndo utajua kuwa si haramu
 
Hiyo ni kitu kimoja ila misamiati miwili tofauti.
Asante sana mkuu, basi mimi hii kitu huwa inanichanganya nashindwa kutofautisha. Pembe za ndovu najua ni kama kiboko na wengineo(pembe za ndovu) na tembo anajitegemea(Meno ya tembo)
 
Ndovu ndo tembo baba.
 
Asante sana mkuu, basi mimi hii kitu huwa inanichanganya nashindwa kutofautisha. Pembe za ndovu najua ni kama kiboko na wengineo(pembe za ndovu) na tembo anajitegemea(Meno ya tembo)

Jf shule maridhawa ya bure
 
licha ya makatazo kutokana madhara lakini vifuatavyo vinapendwa sana na kutumika bila kujari matokeo why:-

1. Rushwa
2. bange
3. nguruwe
4. kabaaang
5. sigara
6. mke wa mtu
7. Pombe
8. mchepuko
9. unga

sijui kwanini watu hawaachi!

haramu yeyote ni dhambi na dhambi yoyote mkuu wake ni shetani na shetani ana ushawishi na nguvv kubwa mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom