Ally Hapi aliwatuka wazee ambao ni baba zake , babu zake bila aibu wa haya mdomoni wala rohoni.... Nashangaa mama hajamtema. Huyu kijana alikuwa nadhani na bado Jeuri. Apigwe chini..Hao ni wachumia tumbo wasio na maadili. hawana hata chembe ya adabu...walikuwa wanaona raha kuwadhalilisha wazee hadharani. Wakae kwa kutulia chama kinarudi katika misingi yake ya utu na kuheshimiana.
Na ni majambazi wenzakeSababu ya vijana wengi wa ccm kutetea siasa chafu za Sabaya ni kwamba ZILIWANUFAISHA.
Vijana wengi wa siku hizi hawajui tofauti ya mema na mabaya, wengi wapo tayari kutembea uchi bila kuona shida yoyote.Vijana wengi hasa wasio na ajira waliingia CCM sio kwa kukipenda chama bali kutafuta ridhiki na ajira za upendeleo ndani ya chama na serikali, huku role models wao wakubwa wakiwa akina Makonda, Polepole, Hapi, Mwigulu, Gambo, Sabaya, Murro, Shaka, Musiba, Habibu na wengine wengi.
Mienendo na tabia ya uongozi wa vijana niliowataja ilijulikana wazi ambayo ilikuwa ubabe, jeuri, fitina, dhulma, utekaji, mauaji nk, walitumia mbinu hizi hasa kuwadhalilisha wapinzani, wakosoaji na wafanyabiashara, wakajiona wao ndio Tanzania na Tanzania ni wao, wakasahau kuwa aliyewapa madaraka na jeuri hizo hana garantii na Mungu.
Kipindi cha utawala wa Mwendazake ili uteuliwe sifa kuu mojawapo ilikuwa ubabe, roho mbaya, matusi, jeuri, ilifikia wakati mwana CCM au polisi akimvunja mguu mpinzani anapongezwa pengine kupandishwa cheo.
Vijana wengi wa CCM wakaanza kuiga matendo na vituko vya akina Sabaya & Co, siasa chafu ambazo uchafu wake hata waonyeshwe kwenye video wanajifanya hawauoni, wakaiga vituko hivi ili waonekane wawafurahishe wakubwa zao wateuliwe, leo wameanza kukata tamaa baada ya kuona Mama hana siasa hizo chafu.
Baada ya kugundua hilo wanachofanya sasa ni kuwatetea role models wao wanaotenguliwa ambao walikuwa wateule wa mwendazake (Bashiru, Polepole, Biswalo, Sabaya), wameanza kumlaumu Mama wakitumia ilani ya chama kama ngao yao kuwa mama anaonyesha kushindwa kuitekeleza, huku lengo kuu ni kutaka kumshinikiza mama aendeleze ubabe wa mtangulizi wake siasa ambazo walitegemea kuja kunufaika nazo.
CCM Mwacheni Mama afanye kazi msimshinikize zamu ya Mwendazake imekwisha. Kazi iendelee.
Hilo Nemo nilikuwa nakumbuka sana Mungu marehemu mzee wetu Kingunge,uhakika Mungu ametujibiaNinamkumbuka marehemu mzee Kingunge alisema "" huyu alistahili kuwa mnyampala wa barabara na si vinginevyo" na kweli yalitimia. Mungu Fundi.
Hawawezi siasa za ushindani wanaweza ubabe kama muasisi wao jiweVijana wengi hasa wasio na ajira waliingia CCM sio kwa kukipenda chama bali kutafuta ridhiki na ajira za upendeleo ndani ya chama na serikali, huku role models wao wakubwa wakiwa akina Makonda, Polepole, Hapi, Mwigulu, Gambo, Sabaya, Murro, Shaka, Musiba, Habibu na wengine wengi.
Mienendo na tabia ya uongozi wa vijana niliowataja ilijulikana wazi ambayo ilikuwa ubabe, jeuri, fitina, dhulma, utekaji, mauaji nk, walitumia mbinu hizi hasa kuwadhalilisha wapinzani, wakosoaji na wafanyabiashara, wakajiona wao ndio Tanzania na Tanzania ni wao, wakasahau kuwa aliyewapa madaraka na jeuri hizo hana garantii na Mungu.
Kipindi cha utawala wa Mwendazake ili uteuliwe sifa kuu mojawapo ilikuwa ubabe, roho mbaya, matusi, jeuri, ilifikia wakati mwana CCM au polisi akimvunja mguu mpinzani anapongezwa pengine kupandishwa cheo.
Vijana wengi wa CCM wakaanza kuiga matendo na vituko vya akina Sabaya & Co, siasa chafu ambazo uchafu wake hata waonyeshwe kwenye video wanajifanya hawauoni, wakaiga vituko hivi ili waonekane wawafurahishe wakubwa zao wateuliwe, leo wameanza kukata tamaa baada ya kuona Mama hana siasa hizo chafu.
Baada ya kugundua hilo wanachofanya sasa ni kuwatetea role models wao wanaotenguliwa ambao walikuwa wateule wa mwendazake (Bashiru, Polepole, Biswalo, Sabaya), wameanza kumlaumu Mama wakitumia ilani ya chama kama ngao yao kuwa mama anaonyesha kushindwa kuitekeleza, huku lengo kuu ni kutaka kumshinikiza mama aendeleze ubabe wa mtangulizi wake siasa ambazo walitegemea kuja kunufaika nazo.
CCM Mwacheni Mama afanye kazi msimshinikize zamu ya Mwendazake imekwisha. Kazi iendelee.
Pia kutukana, kutesa, kuua kutekaka , kulawiti wapinzaniAwamu ya tano nafasi yako serikalini au CCM ilitegemea ukaribu wako na mwendazake.
Upinzani ulikua sawa na uhaini.Pia kutukana, kutesa, kuua kutekaka , kulawiti wapinzani
Tulia mkuu, zamani zetu kulikuwa na usemi "slow but sure" umesharudi naona.Ally Hapi aliwatuka wazee ambao ni baba zake , babu zake bila aibu wa haya mdomoni wala rohoni.... Nashangaa mama hajamtema. Huyu kijana alikuwa nadhani na bado Jeuri. Apigwe chini..
Huwa najiuliza bila Mungu kuingilia kati sijui tungefikaje 2025.Zile siasa za awamu ya 5 ulikuwa ni uwendawazimu wa hali ya juu. Uongozi ule ulikuwa ni uchafu na laana kwa Taifa.
Tumeliharibu Taifa kwa miaka 5. Lakini ninaamini Mungu alikuwa na makusudi yake kuruhusu utawala dhalimu wa kiasi kile uje na udumu kwa miaka 5. Ametukumbusha kuwa bila katiba nzuri, nini kinaweza kuwapata wananchi na Taifa.
Walaaniwe viongozi dhalimu wote, na Mungu aendelee kudhihirisha ukuu wake dhidi yao.
Enyi waovu tubuni, fanyeni toba iliyo kuu ili mpokee msamaha wa Mungu, au la ninyi na wana wenu ishini katika laana maisha yenu yote.