Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Nimemsikia Katibu Wizara ya Michezo kwamba serikali inajenga uwanja wa mpira wa kuchukua watu 30,000 na wataupa jina la Rais Samia.
Moja sio sawa kuweka jina la Rais kwenye vitu vidogo kama hivi.
Pili ni kupoteza pesa za umma kwa sababu kujenga uwanja wa watu 60,000 ni pesa kidogo sana zitaongezeka.
Kenya wanajenga uwanja mpya wa kuchukua watu 80,000 ili kujiandaa na AFCON 2027.
Tanzania tunakwama wapi?