Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Afadhali wameanza kutoa pdf ,aisee Wana kilimo na mifugo wanaenjoy sana mamaee , placement kama zote kila pdf , wengine sie huku pangu pakavu mpaka kutafuta na tochi ,maanina . Placement moja kila baada ya pdf tano .
Damn !
Mpaka nawaonea wivu wana kilimo na mifugo
Oya ! ,Mwanangu El Marabiosh , PSRS Wana hasira na hii course yetu nini mwanangu ?
Au tumerogwa ?
 
Dah!
Ue.jpeg.jpg
 
Back
Top Bottom