captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 958
- 2,079
Shuhuda wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NAUSUBIRIA HUU USHUHUDA[emoji120]Niko hapa nasubiria mkeka wa TRA mazee yaani huu lazima niukamie na nitakuja kutoa ushuhuda hapa
IT kaona stelingi kaanza kuloose control,imebidi ashushe pdf,,,hongera kwa walopataPdf hatimae zimerudiii sasa warudishe ile bandika bandua
IT tuko na wew [emoji95]
Sijapata ila nimegain momentum 😄IT kaona stelingi kaanza kuloose control,imebidi ashushe pdf,,,hongera kwa walopata
Your turn is just around the corner!!Sijapata ila nimegain momentum 😄
IT mtu wetu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji95][emoji95]Sijapata ila nimegain momentum [emoji1]
karudi kazini aliyeachiwa ofisi alikuwa anazinguaa. 😀😀😀 now ni mwendo wa 💥💥💥IT mtu wetu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji95][emoji95]
Aroo tulipoteza muelekeo hatri sana😅😅IT kaona stelingi kaanza kuloose control,imebidi ashushe pdf,,,hongera kwa walopata
😂😂😂😂IT kaona stelingi kaanza kuloose control,imebidi ashushe pdf,,,hongera kwa walopata
Hatari hii mkuu hii vita nikubwa sana asikuambie Mtu, Mwenyezi Mungu atutetende wepesi
Moto wa mapdf uendelee mpaka jobles tuombe poo!!k
karudi kazini aliyeachiwa ofisi alikuwa anazinguaa. 😀😀😀 now ni mwendo wa 💥💥💥
Ninaumia sana hasa kwa watoto wakike, ninaumia zaidi hasa kwa tusiokuwa na uwezo tuliosoma kwa kuunga unga uku wazazi wakibakia maskin kwa kuuza asset watoto wao wasome waje kuwakomboa baadae, binafsi nikiwaangalia wazazi wangu roho inaniuma sana naona kama nashindwa kuwatimizia ndoto zao, naona ata aibu kurudi nyumban, DAH MWENYEZI MUNGU ATUSIMAMIE JOBLESS, Mchakato wa Ajira ni mtihan Tosha maisha kitaa, jua la kitaa kila unachogusa akisogei
Afadhali wewe unapambana ukiwa kitaa huku unajitafutia mdogo mdogo!! Kuna wale ambao hawawezi kabisa kujipigania hata kutafuta kazi ya saidia fundi, au kuuza mitumba etc. Full time wapo nyumbani wanalelewa kwa kila kitu!! Wazee wanaendelea kutumia ka-pensheni kao kiduchu kuwahudumia kwa chakula, malazi na mavazi!! huku wakiwapiga mizinga ya vocha na vifurushi!! Wazazi wana maumivu usipime!! Wazazi wanaendelea kuwatia moyo na kusema usijali tutaendelea kusaidiana tu, lakini huku moyoni wana machozi mengi sana!!Ninaumia sana hasa kwa watoto wakike, ninaumia zaidi hasa kwa tusiokuwa na uwezo tuliosoma kwa kuunga unga uku wazazi wakibakia maskin kwa kuuza asset watoto wao wasome waje kuwakomboa baadae, binafsi nikiwaangalia wazazi wangu roho inaniuma sana naona kama nashindwa kuwatimizia ndoto zao, naona ata aibu kurudi nyumban, DAH MWENYEZI MUNGU ATUSIMAMIE JOBLESS, Mchakato wa Ajira ni mtihan Tosha maisha kitaa, jua la kitaa kila unachogusa akisogei