HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Afadhali wewe unapambana ukiwa kitaa huku unajitafutia mdogo mdogo!! Kuna wale ambao hawawezi kabisa kujipigania hata kutafuta kazi ya saidia fundi, au kuuza mitumba etc. Full time wapo nyumbani wanalelewa kwa kila kitu!! Wazee wanaendelea kutumia ka-pensheni kao kiduchu kuwahudumia kwa chakula, malazi na mavazi!! huku wakiwapiga mizinga ya vocha na vifurushi!! Wazazi wana maumivu usipime!!
Mkuu hayo mateso hayasimuliki ni Mungu Tu anajua namna tunavyoumia
 
Afadhali wewe unapambana ukiwa kitaa huku unajitafutia mdogo mdogo!! Kuna wale ambao hawawezi kabisa kujipigania hata kutafuta kazi ya saidia fundi, au kuuza mitumba etc. Full time wapo nyumbani wanalelewa kwa kila kitu!! Wazee wanaendelea kutumia ka-pensheni kao kiduchu kuwahudumia kwa chakula, malazi na mavazi!! huku wakiwapiga mizinga ya vocha na vifurushi!! Wazazi wana maumivu usipime!! Wazazi wanaendelea kuwatia moyo na kusema usijali tutaendelea kusaidiana tu, lakini huku moyoni wana machozi mengi sana!!
Dah wazee wetu wanapitia magumu snaa 😔
 
Mkuu hayo mateso hayasimuliki ni Mungu Tu anajua namna tunavyoumia
Mimi ni mzazi na ninaelewa sana! Nikiwa mtumishi nililazimika kuingia kwenye mikopo ya bandika bandua ili wanangu waweze kusoma chuo. Kuna ambao hawakutoboa vizuri form 4 ikabidi niwapeleke private F5 & 6. Kwa kuwa walisoma private hawakupata mkopo loan board. Ikabidi niendelee kuwalipia kwa kuendeleza mikopo!! Wamehitimu lakini ndo hivyo tunaendelea kubanana hapa nyumbani tukikagombania hako ka-pensheni kangu!! Wawili walifanikiwa kupenya PSRS na kulamba asali! Wawili ndo bado tunabanana nao hapa nyumbani. Wawili walipata mkopo hao ikanipa unafuu. Walio[penya mmoja alipata mkopo na mmoja nilimlipia!! Waliopo nyumbani pia mmoja alikuwa na mkopo mmoja nilimlipia!!

Ila nimewaandalia plan B: Nina heka 10 huko kijijini niliwaandalia!! ikibidi wakalime hata kwa mkono kwa kuanzia!! Ila ukiwaambia habari ya kwenda kulima kijijini ni kama unawaambia habari ya kwenda jela!!
 
Hongera kwa kupambania vijana wako hadi ukibwani! Your best father
 
IT kaamka. Lakini mbona wanaajiri kada zile zile Kila siku Jamani.?? Kwann wasifute baadhi ya course kikaeleweka?? Watu wapo mtaan mwaka wa 7 Sasa na database wapo yaan mapdf yanatokea Kila siku hawasomeki..?? Jamani Jamani....!!!!
Pole mkuu kada gn tena hiyoo mkuu
 
IT kaamka. Lakini mbona wanaajiri kada zile zile Kila siku Jamani.?? Kwann wasifute baadhi ya course kikaeleweka?? Watu wapo mtaan mwaka wa 7 Sasa na database wapo yaan mapdf yanatokea Kila siku hawasomeki..?? Jamani Jamani....!!!!
Vumlia tu mkuu kuna watu wapo kitaa 10 years bado wanakomaa so kila 1 ana fungu lake tuzid kuomba mwenyez mung
 
KWA WENYE HUELEWA WA KADA ZA WEIGHT BRIGDE , TANROADS , NI AINA GANI ZA MASWALI WANAYOWEZAA ULIZA , WANDUGU ?
 
Back
Top Bottom