Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 765
- 1,329
Yaani huu uzi ukisema kitu ambacho hakieleweki na kimetibua hisia za wengi(jobless) basi lazima upasuliwe na utolewe damu🤣🤣
Sio wizara zote na sio watumishi wote. Kuna jamaa ameondoka huko wizarani kahamia TBCKijana akiona wizarani TGS D anajua ndio iyo iyo
Inshort asali inamwagika vibaya mno.
😅😅 kitaa pamoto mkuu lazma uongee maneno ya busara kwa jobless 😅Yaani huu uzi ukisema kitu ambacho hakieleweki na kimetibua hisia za wengi(jobless) basi lazima upasuliwe na utolewe damu🤣🤣
Watu wengi wameitwa kazini Kwa Muda mfupi mfupi,lazima wasuburi kidogo Kwa Muda kabla ya kuita wengine,hao ambao washaitwa waingizwe kwenye Malipo..
Kuna mambo mengi ukiingia utayajua,budget nk..
mbingunikwetu
Tupe nondo mkuu tuzidi kujifunza nini kinaweza kua sababu ya delay pale psrsUmeongea kama layman kabisa. Clearly hauna idea an mchakato wa utokaji wa ikama na vibali vya ajira.
Tupe nondo mkongwe..!Umeongea kama layman kabisa. Clearly hauna idea an mchakato wa utokaji wa ikama na vibali vya ajira.
BurundiAU WAZEE TUHAMIE UGANDA?
Tupe connection ayseeAU WAZEE TUHAMIE UGANDA?
Au wazee tuache tu kuangaika, kwani lazima kutoboa!AU WAZEE TUHAMIE UGANDA?
Jua la kitaa ndo litakufanya uache au uendlee tu kupambana na psrsAu wazee tuache tu kuangaika, kwani lazima kutoboa!
Tuwe wapole tu mkuu tuendelee kua wavumilivu naaminibwatatoa tu plcement za kutosha siku zijazoAu wazee tuache tu kuangaika, kwani lazima kutoboa!
Desember??!!sjakuelwa vzr 🤔Huu mchakamchaka wa desember sio poa.
🤣🤣🤣kweli ujobless sio poa unatukimbiza vibaya mno, mwanetu kashafika "DESEMBER"Huu mchakamchaka wa desember sio poa.
😎😎😎 dah acha tyuu december ( makusudio yangu) = september.Huu mchakamchaka wa desember sio poa.
Hahaha😎😎😎 dah acha tyuu december ( makusudio yangu) = september.
PSRS wanahatari sana.
😅😅😅 pole sn mkuu😎😎😎 dah acha tyuu december ( makusudio yangu) = september.
PSRS wanahatari sana.
Pole sana mkuu....!!!!!!dah acha tyuu december ( makusudio yangu) = september.
PSRS wanahatari sana.