Ivi kesho sindo tar 12 lolote laweza kutokea!!ila mzigo ukishuka utakuwa mzito sana, ninafikiri.
Kuna taarifa maalum kuhusu tarehe 12 ???Ivi kesho sindo tar 12 lolote laweza kutokea!!
Watu wanaish kwa story za vijiweni. Hatuangalii ukubwa wa mshahara, tunaangalia uwepo wa posho za kutoshaClass mate wangu ambaye aliondoka na foo ya mwishonj kabisa Olevl, aliingia huko kama Afisa Habari ingali sisi(mimi) bado tupo tunasugua Cozi Work Chuo, kashatoboa kitambo.
Enzi za Mwendazake alikuwa anabadili tu Mawaziri kadri wanavyotumbuliwa, kashapiga misele kibao hadi Abroad na Mawaziri.
Mnaosema HQ Wizarani hamna dil chunguzeni vizuri mthibitishe
Lolote laweza kutokea, twende na hiyo statement mwamba.Kuna taarifa maalum kuhusu tarehe 12 ???
Usije ukawa umeachiwa mikoba na makofia 999😂😂😂 . utuambie bhnLolote laweza kutokea, twende na hiyo statement mwamba.
Mkuu unahisi mtu akiwa Mwalimu utasema anafanya kazi TAMISEMI au mtu akiwa anafanya kazi TRA utasema anafanya kazi wizara ya fedha??Alaf wizara Kama wizara ni Pana sana, headquarter Kuna ofisi ya wazir,naibu waziri,katibu mkuu na wakuu wa idara,Hr,mwasibu mkuu nk,so Kuna idara nyingi wizaran,mfn idara ya masoko,idara ya uzalishaji,so kwenye idara Kuna wakuu wa idara hapo Headquarter,hivyo basi kila idara inawafanya kazi wake,95% ya wafanyakazi wa kila idara wapo mikoani,wakikusanya maduhuli au kusimamia miradi iliyo chini ya wizara,so taarifa na report wanatumia kwenye idara zao.wizara inawafanyakazi wengi sana mikoani,ambao mwajiri wao ni katibu mkuu,ukienda headquarter utawakuta wachache sana.
😄😄😄😂Usije ukawa umeachiwa mikoba na makofia 999😂😂😂 . utuambie bhn
pdf leongoja tuone leo itakuwaje
Kijana akiona wizarani TGS D anajua ndio iyo iyoClass mate wangu ambaye aliondoka na foo ya mwishonj kabisa Olevl, aliingia huko kama Afisa Habari ingali sisi(mimi) bado tupo tunasugua Cozi Work Chuo, kashatoboa kitambo.
Enzi za Mwendazake alikuwa anabadili tu Mawaziri kadri wanavyotumbuliwa, kashapiga misele kibao hadi Abroad na Mawaziri.
Mnaosema HQ Wizarani hamna dil chunguzeni vizuri mthibitishe
Kama kuna kitu kiwe kizuri kwa upande wetu joblssHawa jamaa hiki kimya sio cha bure nahisi kuna kitu kinaendlea pale psrs
kimebaki kimulimuli kimoja tu uko..kuna 98% ya mkeka kudondoka muda wowote kufikia kesho tutakua na shuhuda hapa.
ramli wakuu.
Tayari miezi mitatu ilishapita. Deadline ilikuwa tarehe 09/06/2023. kwa hiyo miezi mitatu iliishia tarehe 09/09/2023.Bado siku 8 TRA nao wafunge miez mitatu since dead line, no call for interview. Some wanasema wameshaita, some bado,
in short kila mtu ana lake. Bora taasisi ziajiri zenyewe
Kwa ukimya huu uliozidi nadhani pdf la CDOs linaandaliwa kudondoshwakuna 98% ya mkeka kudondoka muda wowote kufikia kesho tutakua na shuhuda hapa.
ramli wakuu.
Mi nadhani pdf la wale ma CDOs nafasi 800ila mzigo ukishuka utakuwa mzito sana, ninafikiri.
Hatari sana, ni mwezi mi3 sasa na siku 3 imekata. Huo uchambuzi yakinifu unaofanywa sio mchezo, panga linapita huko shwaaaa...Tayari miezi mitatu ilishapita. Deadline ilikuwa tarehe 09/06/2023. kwa hiyo miezi mitatu iliishia tarehe 09/09/2023.
Ukipiga wanakuambia wahusika watakaokuwa shortlisted watajulishwa kwa email. Ukiona hujataarifiwa kwa email ujue haujafanikiwa!
mi mwenyewe nahisi ivoo....Mi nadhani pdf la wale ma CDOs nafasi 800