Mnajimu nyota
Senior Member
- Oct 29, 2018
- 142
- 412
Stelingi,kaonesha ufanisi mkubwa sana,kwenye kitengoyaah leo wanaweza dropisha mkeka muda wowote, japo hiki kitengo nimemkabidhi ndugu yangu stelingi
Stelingi,kaonesha ufanisi mkubwa sana,kwenye kitengoyaah leo wanaweza dropisha mkeka muda wowote, japo hiki kitengo nimemkabidhi ndugu yangu stelingi
Stelingi,kaonesha ufanisi mkubwa sana,kwenye kitengo
Inaonesha soon kinawakakimulimuli kingine kimezimaa ndo maandalizi nn
Kitaa cha moto mkuu acha tuwatu mpo active sio mchezo.kweli hali tete
Mkuu legeza hapo kwenye kuishi Dar wa mkoani pia wanaweza kufikaHello!
Naomba graduates 5 wa HR wenye sifa zifuatazo;
1. Fluent English
2. Age below 27
3. Graduate in HR Management
4. Lives in Dar
5. Male 2
It's urgent
Tuma Cv tu kwenye hii namba
+255 625 529 167
Awapi IT kashafanya yakeSiku ya leo hii imeenda
Mkuu chungulia pm kwako tafadhaliIT WA PSRS NI MDAU WETU JAMANI