Mwamba rinyungu
Senior Member
- Nov 4, 2022
- 195
- 525
Hongera san
Hatimae jana nmelala jobless,ila nmeamka nmejikuta mtumishi,database inafanya kazi,nlifanikiwa kuingia oral 3,ya kwanza nlikutana na ndoige,nkabahatika tena kufanya oral mbili za mda na lga,ila leo nmekuta nmepata taasisi nlofanya interview mara ya kwanza,kupitia database.
Tusikate tamaa,wakati wa Mungu ni sahihi
Status: Selected for oral web na app
Hongera sana mwamba.Hatimae jana nmelala jobless,ila nmeamka nmejikuta mtumishi,database inafanya kazi,nlifanikiwa kuingia oral 3,ya kwanza nlikutana na ndoige,nkabahatika tena kufanya oral mbili za mda na lga,ila leo nmekuta nmepata taasisi nlofanya interview mara ya kwanza,kupitia database.
Tusikate tamaa,wakati wa Mungu ni sahihi
Status: Selected for oral web na app