HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mwakani tuvute Subaru mzee😂😂😂😂😂halafu unaiandika you overtake we race😂
Nikiwa naanza kazi 2013, TGS D laki 5.3 ikikatwa hapo unabakiwa na laki 4 na point. Hapo nimepanga chumba sebule elfu 80,000/=
Maisha yalikuwa magumu sana ila mshua Kikwete alikuwa anaongeza laki 1 kila mwaka wa fedha. Kwahiyo Mwaka 2014, TGS D= 630000
Mwaka 2015, 710000. Mwamba Magufuli aliisimamisha hapo hapo kwa miaka 6 hadi anakufa
 
[emoji23][emoji23] pole sana hiyo laki nne ni hela ya kodi kwa sasa kama unafamilia tabu iko pale pale BTW kujiongeza muhimu sana aisee.
 
Kweli mkuu mimi kwa sasa matumizi yangu ya LAZIMA yanavuka TGS D ya sasa lakini ndio hiyo nataka kuipambania niachane na private sector japo mshahara mkubwa. Nikiichukua TGS D nikalipa ada, kodi, chakula na usafiri naingia kwenye negative[emoji23]
 
Dodoma mkuu
Daah kwa dodoma TGS D na familia juu itakubidi uishi kwa discipline sana, naijua vizuri dodoma ndio station yangu ya kazi japo situlii sehemu moja, Nyumba za bei ndogo angalau ni msalato, nkuhungu, nzuguni, ndachi na mkonze shule nafuu kuna Rhema, east Africa, Rainbow etc, hiyo TGS D unaweza kuishi nayo ni discipline tu.
 
Sina uhakika wa kupangiwa dodoma kama nikipata mkuu japo umenifungua kwenye shule na nyumba hapo ngoja nifanye research hela zangu zinapepea sana. Na dar vipi mkuu una idea ya shule za bei kitonga kidogo ?
 
Wakuu ukishasaini zile fomu fomu zote wanatumia mda Gani kukuita kazini na kukuambia kituo....(njaa mbaya nyieee)

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Bora hata nyinyi mmesain,sisi Hali Tete,sisi tuliopangiwa wizara X,watu tumeenda na details zote,hawakuchukua,picha linaanza unatoka kigoma mpk Dodoma,unaenda kuripoti tu wanaangalia jina alaf wanakwambia acha copy ya Cheti Cha form 4 na 6 kuvihakiki Necta,tusubiri majibu,alafu utarudi siku tukikupigia simu,siku ya kuja kujaza mkataba,Yan dk 5 tu unarud Tena kigoma,kusubir simu,mpk leo karib mwezi hakuna,simu bado,wapo slow kinoma
 
aiseeh poleni champ, sema ni suala la muda mkuu .mtaitwa kazini rasmi
 
Bora hata nyinyi mmesain,sisi Hali Tete,sisi tuliopangiwa wizara X,watu tumeenda na details zote,hawakuchukua,picha linaanza unatoka kigoma mpk Dodoma,unaenda kuripoti tu wanaangalia jina alaf wanakwambia acha copy ya Cheti Cha form 4 na 6 kuvihakiki Necta,tusubiri majibu,alafu utarudi siku tukikupigia simu,siku ya kuja kujaza mkataba,Yan dk 5 tu unarud Tena kigoma,kusubir simu,mpk leo karib mwezi hakuna,simu bado,wapo slow kinoma
Au wanafanya vetting

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
Jamani jamani uzi upo kasi Sana watu tunaomba tupate placement wadau wanazungumzia mikataba na kuanza kazi aisee
Humu kwaoooo haoo😄😄😄 wamestafaafu ujobless majuz tuu.
majobless waliopandishwa cheo bila mshahara. 😀😀😀.

msiwaze wataalamu mambo yatakaa poaaa. Hii ndo dunia, tunabadilisha changamoto tukitoka hii tunaingia hii😥. No time to rest.
 
Wakuu ukishasaini zile fomu fomu zote wanatumia mda Gani kukuita kazini na kukuambia kituo....(njaa mbaya nyieee)

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Inategemeana na taasisi inawahitaji kwa uharaka au vipi kwamfano kwenye hospital huwa haipiti week mbili lazima mnakuwa kazini lakini taasisi zingine kama mmeshajaza detail zote na kuacha account number mnaweza wekewa salary hata kabla hamjaripoti
Lakini kama hamkujaza detail hizo mliishia kuacha vyeti hiyo hata salary hupokei mpaka utakapoitwa tena na kwenda kusaini document
Na kingine nawashauri tu kama majina yapo tofauti tafuta deed pool kabisa kabla hujaenda usijekukisa salary yakwanza
 
Back
Top Bottom