kitanywe 1
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 220
- 444
hahaaa kwahiyo Bado nafasi 5000 na kidogo.Kwa hii mikeka ya hiv karibun wameongezeka 92.
92 + 1,109 = 1,201.
Hivyo bas. Mpaka sasa ni almost watu 1,201 wamelamba asali toka mwaka mpya wa fedha umeanza.
Naomba kuwasilisha mhe. Speaker
Naomba kuwasilisha.