Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,237
- 5,698
Mi sioni haja ya kutoa mikeka nusu nusu , hizo kazi na nafasi wanazotangaza inakuwa ishajulikana wanatakiwa katika taasisi zipi na kwa idadi ipi , majina ya selectees Kwa hizo nafasi baada ya interviews yatolewe yote faster watu wakareport maeneo husika ,ni ujinga kupotezea watu muda , hili ndio linalowachukiza watu kuhusu huu mfumo wa PSRS
Honestly speaking ,hii tabia ikomeshwe mara moja, inakera sana ,na ni indication ya lack of coordination na ufanisi kwenye huu mchakato .
Honestly speaking ,hii tabia ikomeshwe mara moja, inakera sana ,na ni indication ya lack of coordination na ufanisi kwenye huu mchakato .