Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

IT YUKO FIRE

Upande wa INTERVIEW UMECHACHA
Screenshot_20230807-104432.jpg
 
Mimi ni mkubwa kwenu nimeajiriwa halmashauri tangia 2013. Kipindi naanza kazi TGD ilikuwa laki 5.3
Mwaka wa 10 kazini nimetimiza June 2023. Niko kwenye huu Uzi kwasababu nataka kwenda kwenye asali zaidi sioni future huku halmashauri nilipo.

Hahahah hata mimi Mkuu sema nimeajiriwa Private sector like nina mwaka wa 3 kazini. Japokuwa asali ya hapa nilipo ni tamu sana sema ni ya nyuki wakubwa.

Na mimi mwaka huu nimeamua kufatilia hii thread ili nipate mbinu za kwenda kuonja asali wa nyuki wadogo kwenye Utumishi wa Umma, maana Private sector licha kuwa na asali tamu ila utumishi wa Umma una raha yake mkuu.
 
Miradi ya halmashauri haimnufaishi moja kwa moja afisa wa kawaida. Hao uliotaja hapa fani zao zinawawezesha kupata hela nje ya ofisi kupitia wateja wao. Wanaonufaika na miradi ni Engineers, Procurement, Accountant na kidogo wachumi kupitia 10%.
Perdiem nanenane
Hapa unakuta mko maafisa kilimo 20 wilaya nzima wanatakiwa wanne waende nanenane hii huwezi kuiita asali sababu ni chance. Lakini kwenye baadhi ya taasisi utakuta Transport allowance 10%, housing allowance 13%, sikukuu mnadaka bonance. Watumishi mnakuwa level moja bila kujali huyu HR au huyu dereva.
TANROADS inaonekana ni dude kubwa kumbe ukiwa nje! Hawa jamaa mishahara ni ya kawaida sana..
 
Mimi ni mkubwa kwenu nimeajiriwa halmashauri tangia 2013. Kipindi naanza kazi TGD ilikuwa laki 5.3
Mwaka wa 10 kazini nimetimiza June 2023. Niko kwenye huu Uzi kwasababu nataka kwenda kwenye asali zaidi sioni future huku halmashauri nilipo.
Hongera sana Mkongwe Mwenzangu!
 
💥💥💥ANOTHER BIG VERY BIG PROBLEM YET💥💥💥
Aise kuna jamaa kapangiwa placement. Kachukua barua kule PSRS DODOMA na kuipeleka kwa mwajiri alikopangiwa

Mwajiri kakataa kumpokea anasema wao walihitaji mmoja tu ila utumishi (psrs) wamepeleka zaidi ya mmoja

Ameshauri arudi psrs kule.
Now
Hiyo imekaaje?

Mwifwa , mfwende sawadogo Twinawe wizy
 
Back
Top Bottom