Hunk Man
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 238
- 384
Uko sahihi hata mm nakuunga mkonoMimi ni mkubwa kwenu nimeajiriwa halmashauri tangia 2013. Kipindi naanza kazi TGD ilikuwa laki 5.3
Mwaka wa 10 kazini nimetimiza June 2023. Niko kwenye huu Uzi kwasababu nataka kwenda kwenye asali zaidi sioni future huku halmashauri nilipo.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app