Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkandaji mkuu nae kakandwa
Paper Kafeli Mh.Mhagama aliyotoa !!!
Swali lenyewe sasa"Nitafutie wakandwaji 1700+ data base waliopita(ukicheki IT kafuta majina yote ...)
Tuzidi kuomba Mungu ...Ipo siku atajibu maombi yetu hivi punde Uchungu wa mtoto ajuaye Mama)
Mama(Rais) anahuruma na wanae hawezi kuwalaza njaa
IMG-20230216-WA0005.jpg
 
Paper Kafeli Mh.Mhagama aliyotoa !!!
Swali lenyewe sasa"Nitafutie wakandwaji 1700+ data base waliopita(ukicheki IT kafuta majina yote ...)
Tuzidi kuomba Mungu ...Ipo siku atajibu maombi yetu hivi punde Uchungu wa mtoto ajuaye Mama)
Mama(Rais) anahuruma na wanae hawezi kuwalaza njaaView attachment 2710668
USishangae kuambiwa wameshaisha tayri 😒
 
Kwa hiyo wamegoma kutoa mikeka ya MDA and LGA ya interviews za June au sio ?,
Itakuwa labda wanataka wamalizane na viporo vya miezi ya nyuma kuaniza january mpaka may ili wakianza june watu watoke fasta mpaka wa july labda wamesikia kilio chetu wanasolve hili tatizo la kuchelewesha kwa placement kwa kuanza kushughulikia viporo
 
Back
Top Bottom