Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Kama ni likizo wasingetoa picha yake kweny web yaosio iyo tu ni pdf mbalimbali kwa sasa pale chini zimeandikwa imetolewa na kaimu katibu
Kama ni likizo wasingetoa picha yake kweny web yaosio iyo tu ni pdf mbalimbali kwa sasa pale chini zimeandikwa imetolewa na kaimu katibu
Atakuwa yupo likizo ingekuwa ametolewa basi taarifa ingetolewaBasi jamaa kachomolewa pale kimya kimya
Ndo watoe hadi picha??Atakuwa yupo likizo ingekuwa ametolewa basi taarifa ingetolewa
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Aisee inawezekana kaondolewa kimya kimya ila Wabongo nuksi mmepiga kelele na kilio Chenu mpaka jamaa kaondolewa picha yakeNdo watoe hadi picha??
😅😅😅Aisee inawezekana kaondolewa kimya kimya ila Wabongo nuksi mmepiga kelele na kilio Chenu mpaka jamaa kaondolewa picha yake
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuuAlhamdulillah nami nimekula asali ya utumishi wa umma leo
Ndo watoe hadi picha?
Mbona sisi sometimes huwa tunakandwa kwenye oral hata kwa simu tu . Hata pdf hatuoni na inaishaa.Atakuwa yupo likizo ingekuwa ametolewa basi taarifa ingetolewa
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Watu mpo makini sanaAlafu placement ya tar 5 imetolewa na Kaimu Katibu wa Sekretarieti
Uwenda amestaafu au na yeye amekandwa
Bro wizy unacheka mkandaji mkuu kukandwa kimya kimya 😅😅😂😂😂😂
Kwa wadau wa status, web + apps, namba za kuwauliza IT izoKumbe IT wapo wengi bhana,wafanye jambo Simba dayView attachment 2709986
Hao hawanaga statement zaidi ya kukwambia hawana muda na account yakoKwa wadau wa status, web + apps, namba za kuwauliza IT izo
Miradi ya halmashauri haimnufaishi moja kwa moja afisa wa kawaida. Hao uliotaja hapa fani zao zinawawezesha kupata hela nje ya ofisi kupitia wateja wao. Wanaonufaika na miradi ni Engineers, Procurement, Accountant na kidogo wachumi kupitia 10%.Nani kakuambia halmashauri kuna njaa? Inategemea uko idara gani!! Idara nyingi za halmashauri huwa zina miradi sana na huko safari na posho zipo kibao!! Kwa mfano muda huu vijana wengi (kuna wengine nawafahamu personally) huko wapo kwenye maonesho ya nanenane morogoro wanakula per diem ya manispaa 150,000/= per day!! Idara kama mifugo, kilimo, uvuvi, nyuki, misitu siyo wenzio hao!! kuna projects kibao!!
Kbsa hayo ndo majibu yao...kuna vt vingine ni siri za ofisi huezi ambiwa ukweli kila kituHao hawanaga statement zaidi ya kukwambia hawana muda na account yako
Mkuu umelamba asali wapi mwenzetu unakula maposho😅Miradi ya halmashauri haimnufaishi moja kwa moja afisa wa kawaida. Hao uliotaja hapa fani zao zinawawezesha kupata hela nje ya ofisi kupitia wateja wao. Wanaonufaika na miradi ni Engineers, Procurement, Accountant na kidogo wachumi kupitia 10%.
Perdiem nanenane
Hapa unakuta mko maafisa kilimo 20 wilaya nzima wanatakiwa wanne waende nanenane hii huwezi kuiita asali sababu ni chance. Lakini kwenye baadhi ya taasisi utakuta Transport allowance 10%, housing allowance 13%, sikukuu mnadaka bonance. Watumishi mnakuwa level moja bila kujali huyu HR au huyu dereva.
Mimi ni mkubwa kwenu nimeajiriwa halmashauri tangia 2013. Kipindi naanza kazi TGD ilikuwa laki 5.3Mkuu umelamba asali wapi mwenzetu unakula maposho😅