_saul
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 257
- 520
Pole mkuu ni ngumu na mateso jipe muda pumzika kwanza ukae sawa ndio uende tena kwenye interviewBinafsi nimekata tamaa,nilikuwa na group la washkaji zangu watano baada tunadiscuss pamoja hasa inapokuja suala la hizi interview hata saa 2 usiku tulikuwa tunakutana na kudiscuss pamoja na kupeana moyo japo kila mmoja ana mishe inayomuingizia mia mia za kusukuma maisha,bad enough watano wenzangu wote wamelamba asali na mm peke yangu kubaki,baadhi wanasema ukweli walijibu kwa ufasaha maswali matatu na kati yao hakuna aliyejibu yote kwa ufasaha (naamini maneno yao japo sina uhakika),mimi upande wangu nikakomaa na manne moja nikababatiza lkn mwisho wa siku MDA &LGA imeniachia huzuni tu,kibaya kutegemea huko kumefanya nikae na mawazo,rasmi nimetupa taulo acha niendelee na harakati zangu huenda ndio nimepangiwa maana interview zinamaliza hela,zinatupa mawazo na zinakatisha tamaa kabisa kwa kuona kama vile sehemu nilipo hakuna maisha.
Sijui shida ni PSRS,sijui ni UTUMISHI (kama wizara),au ni katibu mkuu kiongozi ila yote kwa yote hata utoaji wa majina nusunusu nao unawaacha wengi na depression maana bora utoe mara moja mtu kakosa amekosa maisha yaendelee.