rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,986
MD yupi???? Wa nchi gani???? Labda NGOs kwa hapa bongo ilaa Daktari baada ya makato hafiki hata milion.MD baada ya makato anachukua 3M na point. Pia kuna safari na semina kila mwezi na unaweza kuishi kwa posho tu. Pia kwenye baadhi ya taasisi kinachofanya take home iwe kubwa ni kwasababu baadhi ya makato huwa analipa mwajiri na si kutoka kwenye mshahara wako , mfano Tanesco Bima ya afya inalipwa na mwajiri nje ya mshahara wako, yaani NHIF wakikukata mwajili ana replace so haiathiri mshahara wako