HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sio mbaya , ni kwenda kuminyana huko huko itajulikana mbele kwa mbele , kuna mshikaji wangu mmoja kapata halafu anasita kwenda kuchukua barua ,tena hata alikuwa hajui ,jana usiku ndio nikamshitua , nimemtukana nikamwambia acha upumbavu nitakufata hapo nikupige makofi hutaamini[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] , anafanya kwenye kikampuni uchwara kimoja na mshahara hata laki 7 haufiki sasa si bora uingie Tamisemi na security serikalini ni kubwa tofauti na vikampuni Magumashi vya wakandarasi ? ,Miradi ya kubangaiza ? Oya mtu akipata hata halmashauri aende ,ipo siku anaweza kulia na kusaga meno kwa kudharau hiyo chance .
Hongereni mliofanikiwa kupata chance
Tamisemi naona kupo safi kwa sababu ya miradi mingi iliyopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mbaya , ni kwenda kuminyana huko huko itajulikana mbele kwa mbele , kuna mshikaji wangu mmoja kapata halafu anasita kwenda kuchukua barua ,tena hata alikuwa hajui ,jana usiku ndio nikamshitua , nimemtukana nikamwambia acha upumbavu nitakufata hapo nikupige makofi hutaamini[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] , anafanya kwenye kikampuni uchwara kimoja na mshahara hata laki 7 haufiki sasa si bora uingie Tamisemi na security serikalini ni kubwa tofauti na vikampuni Magumashi vya wakandarasi ? ,Miradi ya kubangaiza ? Oya mtu akipata hata halmashauri aende ,ipo siku anaweza kulia na kusaga meno kwa kudharau hiyo chance .
Hongereni mliofanikiwa kupata chance
Naunga mkono ebu kamzabe makofi mengine tena kwa niaba[emoji3][emoji3]
 
Attachments

  • Shabiby2.jpg
    Shabiby2.jpg
    90.4 KB · Views: 32
  • Shabiby.jpg
    Shabiby.jpg
    114.9 KB · Views: 26
Gozibati...unajua Medical Doctor aliyeajiriwa Tanesco (kwenye plants) kama vile kianzi, kidatu, mtera, nyumba ya mungu , unajua wanalipwa bei gani?

Nadaclare interest kwamba sijui mshahara wa medical doctor wa hiyo taasisi ila kwa uzoefu wangu kwenye haya mataasisi, nadhani ulimaanisha kabla ya makato.

Ikumbukwe wastani wa mshahara wa officers kwenye mashirika unarange from 1.5 M to 4 M. Taasisi zinazolipa huko around 4 M ni chache sana wale wakina TPDC, TCRA etc. Mshahara wa 5 M ni wa managers na wakurugenzi mzee. Otherwise kukiwa na evidence nitaeza amini.

Hii ni mishahara iliyopendekezwa pale TPDC, na ilikataliwa

tpdc.jpg
 
Sio mbaya , ni kwenda kuminyana huko huko itajulikana mbele kwa mbele , kuna mshikaji wangu mmoja kapata halafu anasita kwenda kuchukua barua ,tena hata alikuwa hajui ,jana usiku ndio nikamshitua , nimemtukana nikamwambia acha upumbavu nitakufata hapo nikupige makofi hutaamini[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] , anafanya kwenye kikampuni uchwara kimoja na mshahara hata laki 7 haufiki sasa si bora uingie Tamisemi na security serikalini ni kubwa tofauti na vikampuni Magumashi vya wakandarasi ? ,Miradi ya kubangaiza ? Oya mtu akipata hata halmashauri aende ,ipo siku anaweza kulia na kusaga meno kwa kudharau hiyo chance .
Hongereni mliofanikiwa kupata chance
Kweli huyo ni wakuwasha vibao!
 
Binafsi nimekata tamaa,nilikuwa na group la washkaji zangu watano baada tunadiscuss pamoja hasa inapokuja suala la hizi interview hata saa 2 usiku tulikuwa tunakutana na kudiscuss pamoja na kupeana moyo japo kila mmoja ana mishe inayomuingizia mia mia za kusukuma maisha,bad enough watano wenzangu wote wamelamba asali na mm peke yangu kubaki,baadhi wanasema ukweli walijibu kwa ufasaha maswali matatu na kati yao hakuna aliyejibu yote kwa ufasaha (naamini maneno yao japo sina uhakika),mimi upande wangu nikakomaa na manne moja nikababatiza lkn mwisho wa siku MDA &LGA imeniachia huzuni tu,kibaya kutegemea huko kumefanya nikae na mawazo,rasmi nimetupa taulo acha niendelee na harakati zangu huenda ndio nimepangiwa maana interview zinamaliza hela,zinatupa mawazo na zinakatisha tamaa kabisa kwa kuona kama vile sehemu nilipo hakuna maisha.
Sijui shida ni PSRS,sijui ni UTUMISHI (kama wizara),au ni katibu mkuu kiongozi ila yote kwa yote hata utoaji wa majina nusunusu nao unawaacha wengi na depression maana bora utoe mara moja mtu kakosa amekosa maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom