kiri12
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 638
- 558
Hongera sanaSikua mchangiaji sana humu , ila nilikuwa nikija maramoja moja kusoma comments za wadau.Hakika kuna mda nilikata tamaa nikijua kuwa kazi nilishakoza kwasababu idadi iliokuwa inatakiwa ilishakamilika. Namshukuru mwenyezi nami nimepata kazi.Msikate tamaa wengi mpo database!
Ni TGS E1 na siyo TGTS ambayo ni ya walimu.TGTS E1, Laki 9.9 Kabla ya makato
Nikuambie kitu: Unapojisikia kukata tamaa ujue muujiza wako uko karibu sana!! Jitie nguvu, jipe moyo na uendelee kuomba nafasi kila zinapotokea na kufanya usaili. Ni kweli zinamaliza pesa lakini hayo ndiyo matumizi sahihi ya pesa!! Kuna watu ninaowajua walikuwa wamekata tamaa sana baada ya kufanya saili kadhaa bila mafanikio. Tunapozungumza leo tayari walisharamba asali na wako kazini tayari.Binafsi nimekata tamaa,nilikuwa na group la washkaji zangu watano baada tunadiscuss pamoja hasa inapokuja suala la hizi interview hata saa 2 usiku tulikuwa tunakutana na kudiscuss pamoja na kupeana moyo japo kila mmoja ana mishe inayomuingizia mia mia za kusukuma maisha,bad enough watano wenzangu wote wamelamba asali na mm peke yangu kubaki,baadhi wanasema ukweli walijibu kwa ufasaha maswali matatu na kati yao hakuna aliyejibu yote kwa ufasaha (naamini maneno yao japo sina uhakika),mimi upande wangu nikakomaa na manne moja nikababatiza lkn mwisho wa siku MDA &LGA imeniachia huzuni tu,kibaya kutegemea huko kumefanya nikae na mawazo,rasmi nimetupa taulo acha niendelee na harakati zangu huenda ndio nimepangiwa maana interview zinamaliza hela,zinatupa mawazo na zinakatisha tamaa kabisa kwa kuona kama vile sehemu nilipo hakuna maisha.
Sijui shida ni PSRS,sijui ni UTUMISHI (kama wizara),au ni katibu mkuu kiongozi ila yote kwa yote hata utoaji wa majina nusunusu nao unawaacha wengi na depression maana bora utoe mara moja mtu kakosa amekosa maisha yaendelee.
Unasema kweli kabisa!! Ma-MD wakipita hapa wanashangaa sana!! Ni kweli kuna tofauti ya viwango vya ma-MD wale wanaofanya moja kwa moja serikalini na wale wanaofanya kwenye taasisi za sertikali. Lakini kwa MD anayeanza kazi hakuna anayetoboa 2M gross salary. Wa kwenye taasisi kama vile Muhimbili hospital, MOI nk wako juu kidogo kuliko walioko LGA. Wale wa LGA baada ya makato milioni haipati. Wale wa kwenye taasisi baada ya makato anapata milioni na ushee kidogo!.MD yupi???? Wa nchi gani???? Labda NGOs kwa hapa bongo ilaa Daktari baada ya makato hafiki hata milion.
Hongera sana na ukawe mtumishi mwema. Endelea kuwaombea waliobaki nao warambe asali.Wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana kikubwa tusikate tamaa kuapply na kuattend kwenye interviews na kufanya maombi piah, kila mtu atapata kwa wakati wake.
Nashukuru Mungu nimebahatika kupata kazi kwenye pdf ya jana hakika Mungu ni mwema[emoji119].
Kalale Makulu HapoHv ninaweza pata guest za bei rahisi maeneo ya COLLEGE OF BUSINESS STUDY PALE UDOM Au karibu na happ maana hali si Hali
Hongera, ila wakumbuke kwa maombi wale ambao hawajafikiwa zamu yao ya kulamba asali!!. Kumbuka kuwa mtumishi mwema!Asali inaendelea kulambwa vzur tuuu
Hao wengine wako jikoni wakati mwalimu yuko Dinning.Sa kwanini walimu wanalalamika sana maisha magumu kuliko hao MaHR, na wengineo walioko Halmashauri?
Vipi kuhusu ma afisa wa idara ya ukaguzi wa ndani Halmashauri nao wapoje upande wa posho?Hao wengine wako jikoni wakati mwalimu yuko Dinning.
Nakupa mifano miwili :
1. Afisa hesabu wa Halmashauri anaesimamia Zahanati na hospital madokezo hotel ya Hela na miradi mbali mbali lazima halite kwake hapa lazima adake chochote akikusanya Zahanati zote sio haba
2. Procurement hawa ndio hawaendi mbinguni kabisa Kila mradi wa Halmashauri lazima wale. Hawa wanaenda sambamba na wahandisi. Mmoja anakagua utaalamu wa vifaa mwingine anakagua bei. Ukisikia Halmashauri imejenga soko Kwa milioni 800 basi ujue gharama halisi ni milioni 450-500, hizi nyingine mgao umetembea bila kumsahau pacha wao Afisa hesabu na mchumi.
Pia Hawa wa Halmashauri makato makuu wana OT wanajilipa.
Mwalimu Hana kitu chochote mkavu kama mkaa Hadi mwisho wa mwaka apate fursa ya mitihani
Plus Ma afisa hesabu!Vipi kuhusu ma afisa wa idara ya ukaguzi wa ndani Halmashauri nao wapoje upande wa posho?
swahilitimes.co.tz
Hawa na maafisa hesabu ni idara Moja ya Fedha na biasharaVipi kuhusu ma afisa wa idara ya ukaguzi wa ndani Halmashauri nao wapoje upande wa posho?
Na afisa uvuviHawa na maafisa hesabu ni idara Moja ya Fedha na biashara