Upside Down
Member
- May 6, 2023
- 14
- 29
Hivi saili fanyika kikanda walikuwa wana bip? 🤔
Nafikiri idadi ya wasailiwa nayo ilichangia sana kufanya kikanda.Hivi saili fanyika kikanda walikuwa wana bip? 🤔
Walimu hawana Overtime wala posho yoyote hao watumishi wa Halmashauri kama ma Hr kila mwezi over time inaweza fika hadi laki 3Sa kwanini walimu wanalalamika sana maisha magumu kuliko hao MaHR, na wengineo walioko Halmashauri?
Hongera sana mkuu, kila la kheri.Sikua mchangiaji sana humu , ila nilikuwa nikija maramoja moja kusoma comments za wadau.Hakika kuna mda nilikata tamaa nikijua kuwa kazi nilishakoza kwasababu idadi iliokuwa inatakiwa ilishakamilika. Namshukuru mwenyezi nami nimepata kazi.Msikate tamaa wengi mpo database!
Kwa wakufunzi wa vyuo vikuu ni 70%Oral kufaulu ni max ngapi?? Me najua kuanzia 50%. Wameongeza tena rate?
Saa tatu asbh hiyoWenye experience huu mda wa usaili wa jmos hii ulioandikwa sa 03:30Am ni sa ngapi maan sielew ni sa 9 alfajiri au sa 3 asubh
Sijafanikiwa nazani mkeka ujao takuwepo ,,Mungu akatende miujiza yake nikawemo amina
Aisee.!Nimeota hivi karibuni PSRS itakuwa chombo cha kutenda haki, maboresho yote tunayodai ikiwapo uwazi wa Data base yatafanyiwa kazi hii ni baada ya msaka ajira mmoja, kwenda jimwagia petrol na kujichoma moto hadharani mbele ya ofisi ya PSRS, hali iliyozua hasira na ghadhabu kubwa toka kwa jamii ikiambatana na maandamo makubwa ya kudai mabadiliko kamili pia taasisi zote za serikali ajira zake zipitie utumishi.
Mfano afisa mifugo, uvuvi, kilimo, ma IT, ngoja nikuelezee ambayo nina uzoefu nayo kidogo.Je kwa Halmashauri watu gani wana unafuu kdgo wa hizo posho!?
Ndani ya pdf nne zijazo, mfwende umo.!kibuyu changu kutoka kwa babu yangu mzaa baba huko manyoni,kiliona wiki imejaa pdf sana,
ni mwendo wa ramli tu, wiki bdo mbichi hii ,mwenyewe sawadogo najiona kama nimekaribia kulamba asali hvii
Hongereni sana aseeWakati wa Mungu ni wakati sahihi sana kikubwa tusikate tamaa kuapply na kuattend kwenye interviews na kufanya maombi piah, kila mtu atapata kwa wakati wake.
Nashukuru Mungu nimebahatika kupata kazi kwenye pdf ya jana hakika Mungu ni mwema[emoji119].
Hahaa wiki hii hadi ya TAMISEMI ualimu na Afya ekibuyu changu kutoka kwa babu yangu mzaa baba huko manyoni,kiliona wiki imejaa pdf sana,
ni mwendo wa ramli tu, wiki bdo mbichi hii ,mwenyewe sawadogo najiona kama nimekaribia kulamba asali hvii
Hongera sanaSikua mchangiaji sana humu , ila nilikuwa nikija maramoja moja kusoma comments za wadau.Hakika kuna mda nilikata tamaa nikijua kuwa kazi nilishakoza kwasababu idadi iliokuwa inatakiwa ilishakamilika. Namshukuru mwenyezi nami nimepata kazi.Msikate tamaa wengi mpo database!