Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

We fikiria mtu keshapiga written zaidi ya 10 na kafanikiwa kupenya kwenye oral mara kadhaa ikiwemo hii ya MDA & LGA na bado kila pdf ikitoka ni patupu!! Ni Mungu tu anayeweza kumtia moyo na kumpa matumaini!! Niwakumbushe: Mungu ni mwaminifu endeleeni kumwamini!! Lazima atawashika mkono siku moja!! Hiyo siku moja inaweza kutokea leo au kesho au wiki hii au siku yoyote!
 
Amina sana kwa kweli Mungu wetu ni mwaminifu sana tumtumainie yeye atatenda kwa majira na nyakati zake, imetupasa kumuomba yeye bila kukata tamaa siku zote.
 
Wakuu,nimejaza akaunti yangu kwa profile imefika 91%,nika-apply. Je naweza nkaitwa kwenye written as long as sehemu nyingne zote nmejaza isipokua kwenye working experience?MSAADA tafadhali
 
Ondoa shaka mkuu. Upo vizuri. Kama umefuata kila sharti la tangazo la kazi, utaitwa kwenye written interview.
 
Tatizo sio ajira kutoka tatizo utumishi unafanya usaili unakaa karibia mwaka majibu wanachelewesha
Ni kweli. Naamini baadhi ya wahusika wanapita humu jamvini pia na wanaona malalamiko ya watu. Toka post za MDA & LGA zitangazwe na watu wakaomba ni karibu mwaka umepita. Zilitoka mwaka jana mwezi wa tano na sasa ni mwezi wa tano!! Usaili ulifanyika mwezi wa pili saa hii ni mwezi wa tano!! Tunajua wana changamoto kubwa sana, kazi yao ni ngumu sana!!! Lakini tunawaomba wajitahidi hivyo hivyo kukidhi matarajio ya watanzania!! Ila tukumbuke kuwaombea ili watende haki maana HAKI HUINUA TAIFA
 
Ni kweli ni muhimu kuwakumbuka watumishi wa PSRS katika sala na dua zetu kwa Mungu ili waitende haki ya Mungu kwa watu wake, kwa kuwa nao ni binadamu hivyo wanamapungufu na madhaifu yao.
 
Back
Top Bottom