HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Pili, wakuu ukipiga oral ,wale walio qualify zaidi wakapangiwa kazi. mliopo database hakuna mianya ya kutoa majina mfukoni, wakitaka kuchukua database wana command system wale wenye marks za juu watazidi kupata placement systematic mpaka kuwafikia wale wenye marks za chini. na akamaliza kuwa kuwa kuna ma auditor kabisa wa mfumo, na siku ile ya oral kunakua na watu kutoka idara tofauti tofauti za serikali ili kuhakikisha usahili unakua wa haki.

wakuu janja janja PSRS ni kidogo tena za kibinadamu ,tusiwachukulie kirahisi sanaa
 
Kama haya maelezo yana ukweli ndani yake basi jamaa wanajithdi kua fair,japo hili suala la kuchelewesha placement linaudhi sanaa tena sanaa
 
Asa kama ni kweli Borea watoe majina kwa pamoja alaf kuripoti kazini kila mtu apewe siku yake kulingana na barua yake ingesaidia kupunguza torture and depression kwa jobless
 
kama huamini tafuta mtu,mwambie akusaidie upate nafasi utumishi atakuchana live hali halisi. mianya pekee aliyosema labda uvujishiwe pepa ama uwe na maswali ya oral hapo unaweza tusua kiulaini na kulamba asali
 
Asa kama ni kweli Borea watoe majina kwa pamoja alaf kuripoti kazini kila mtu apewe siku yake kulingana na barua yake ingesaidia kupunguza torture and depression kwa jobless
ifeel ure pain champ,we are going through the same scenario, msoto mkalii
 
Vijana endeleeni kujinoa tu, mwaka 2023/2024 mama kaahidi kumwaga ajira karibia 50,000!! usikubali kukata tamaa, usiwaze kutokuhudhuria usaili!!! Pambana na Mungu atakusaidia!!

kuna mwnangu mmoja anamtu huko PSRS alimtonya kuwa wanachelewa kutoa placement kwa pamoja sababu serikali haina/inakwepa cost za kuwapa watumishi wapya fedha ya kujikimu kwa pamoja.
Hii ni kwel 100% maana hata mm Kuna mtu wangu wa kalibu alipata placement mwezi wa pili mwisho,, na alkua anamtu anamfahamu pale utumishi alkua anampa hizo taarifa maana yy amekula mishahara miwili akiwa nyumbani, mwez wa tatu na WA nne hivi Leo ndo ameripo kazini, lakin jamaa alkua anamuambia hayo maneno kua huo mshahara unaopata tumia vizuri maana pesa ya kujkimu inaweza kuchelewa na ndo maana serkal inaita kwa mafungu pia inachukua mda kukuita kazini hata ukishapata placement
 
ndio hvo afsa ,yawezekana fedha ya kujikimu ikawa barrier

ndio hvo afsa,fedha ya kujikimu kwa watumishi huenda ni barrier kubwa sana kwa placement kutoka
 
Shida n pesa nyng wanatoa, japo Sina uhakika na Hilo kama inaweza kua n kila taasisi, maana kwa taasisi ile wao wanalipwa hela nying
 
taasisi nyingi za gavoo ,pesa ya kujikimu sio ya kitoto kwa jobless kama mimi naweza nunua kiwanja cha kuishi huko kijijini kwetu nambwinde
 
Kwani hela ya kujikimu inatolewa na taasisi husika au inakuaje?
 
wajuzi watafafanua.

namalizia ,jamaa aka conclude usiombe umepangiwa halmashauri pesa ya kujikimu utaiandikia madai even after six month ndio wanakuja kukulipa(baadhi ya halmashauri)
Huwa approximate ni kiasi gani maana kama ni nying hapo michakato unakua mref maana pesa ya serikali ina process haitoki kirahis
 
Hivo tuendelee kuwa wavumilvu na suala la database ni uhalisia hakuna uwezekano wa kupenyeza mtu sio rahisi mfumo upo monitored sana
Yeah database ipo monitored hatar sio kirahis hvy watu kufikir wanaweza penyeza watu hapana psrs ni taasis muhimu sana na yenye kutoa haki kikubwa waongezewe bajeti na wafanyakazi wakutosha
 
Pili, wakuu ukipiga oral ,wale walio qualify zaidi wakapangiwa kazi. mliopo database hakuna mianya ya kutoa majina mfukoni, wakitaka kuchukua database wana command system wale wenye marks za juu watazidi kupata placement systematic mpaka kuwafikia wale wenye marks za chini. na akamaliza kuwa kuwa kuna ma auditor kabisa wa mfumo, na siku ile ya oral kunakua na watu kutoka idara tofauti tofauti za serikali ili kuhakikisha usahili unakua wa haki.

wakuu janja janja PSRS ni kidogo tena za kibinadamu ,tusiwachukulie kirahisi sanaa

Aliyekudanganya nani?? Simu zinapigwa kule uwe na connection tu. Kama umepiga oral na una connection chap sana unakula kitengo.
 
Huwa approximate ni kiasi gani maana kama ni nying hapo michakato unakua mref maana pesa ya serikali ina process haitoki kirahis
sijajua kwa taasis nyingine juz jzuz, mwnangu alipata taasis fulani wizara ya ujenz nizaidi ya 1.5M per individual
 
Pili, wakuu ukipiga oral ,wale walio qualify zaidi wakapangiwa kazi. mliopo database hakuna mianya ya kutoa majina mfukoni, wakitaka kuchukua database wana command system wale wenye marks za juu watazidi kupata placement systematic mpaka kuwafikia wale wenye marks za chini. na akamaliza kuwa kuwa kuna ma auditor kabisa wa mfumo, na siku ile ya oral kunakua na watu kutoka idara tofauti tofauti za serikali ili kuhakikisha usahili unakua wa haki.

wakuu janja janja PSRS ni kidogo tena za kibinadamu ,tusiwachukulie kirahisi sanaa
Kama ni kweli, ni vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom