Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,613
Ni kweli aiseee...Kama haya maelezo yana ukweli ndani yake basi jamaa wanajithdi kua fair,japo hili suala la kuchelewesha placement linaudhi sanaa tena sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli aiseee...Kama haya maelezo yana ukweli ndani yake basi jamaa wanajithdi kua fair,japo hili suala la kuchelewesha placement linaudhi sanaa tena sanaa
Basi ndio maana inakua shida kutoa placement kwa pamoja.sijajua kwa taasis nyingine juz jzuz, mwnangu alipata taasis fulani wizara ya ujenz nizaidi ya 1.5M per individual
Evidence iko wapi sema Weng wetu stor za vijiweniAliyekudanganya nani?? Simu zinapigwa kule uwe na connection tu. Kama umepiga oral na una connection chap sana unakula kitengo.
ukosahihi mkuu, basi hata ww subir utapigiwa simu.
hata mm naunga mkono hoja,usiri na ukimya huu unatupa sononaBasi ndio maana inakua shida kutoa placement kwa pamoja.
Ila wangetoa majibu Tu ya oral watu wapunguze sonona
Kwa TGS D ni around 750+Kwani kwa kawaida pesa ya kujikimu inacheza kati ya bei gani
So inatoka kutegemea na daraja lako la mshaharaKwa TGS D ni around 750+
Evidence iko wapi sema Weng wetu stor za vijiweni
Yan this time lower your expectations maana unaweza toka na ugonjwa ukisubiria Kaz za psrsunajua subra ni kipaji ,hasa pale ambapo huna mishe inayo eleweka subra inakata kabisa. list ya waliopata placement ila mwajiri ajajipanga ingewekwa hadharani the same kwa wale waliopo database pia,maana tunasubiri tu kumbe tunasubiria hewa.
bila shaka mkuuYan this time lower your expectations maana unaweza toka na ugonjwa ukisubiria Kaz za psrs
Omba mungu hizo sjui kama hawajaita mwezi wa 8 hukooWakuu kuna yyte aliyefnya application TRC kwa kada ya Station Master???km yupo vipi ramli inasemaje kuhusu kuitwa kwa ajili ya written???Manake msoto umkua mkubwa mtaani had tunasahau km tulifanya application.
Zaidi ya 1.5M? Mkuu mnadanganyana sana.sijajua kwa taasis nyingine juz jzuz, mwnangu alipata taasis fulani wizara ya ujenz nizaidi ya 1.5M per individual
Usiamini kila unachoambiwa.Pili, wakuu ukipiga oral ,wale walio qualify zaidi wakapangiwa kazi. mliopo database hakuna mianya ya kutoa majina mfukoni, wakitaka kuchukua database wana command system wale wenye marks za juu watazidi kupata placement systematic mpaka kuwafikia wale wenye marks za chini. na akamaliza kuwa kuwa kuna ma auditor kabisa wa mfumo, na siku ile ya oral kunakua na watu kutoka idara tofauti tofauti za serikali ili kuhakikisha usahili unakua wa haki.
wakuu janja janja PSRS ni kidogo tena za kibinadamu ,tusiwachukulie kirahisi sanaa
Elimu.So inatoka kutegemea na daraja lako la mshahara
Applicants ni wengi mno!! watumishi wenyewe ni wachache na hawatoshelezi!!Ugumu wa kazi yao unakujaje mkuu em nisaidie kuniweka wazi
Hiyo data base ni mlango wa nyuma wa kupitishia watu!! Watu walioko "database" ni siri kali! Ndio maana hizo marks za oral inabakia ni siri kali!! Wewe haujiulizi kwa nini watu huwa hawapewi wakaona marks zao za oral? Kama haujawahi kuziona marks zako za oral una uhakika gani na hiyo "data base"?Pili, wakuu ukipiga oral ,wale walio qualify zaidi wakapangiwa kazi. mliopo database hakuna mianya ya kutoa majina mfukoni, wakitaka kuchukua database wana command system wale wenye marks za juu watazidi kupata placement systematic mpaka kuwafikia wale wenye marks za chini. na akamaliza kuwa kuwa kuna ma auditor kabisa wa mfumo, na siku ile ya oral kunakua na watu kutoka idara tofauti tofauti za serikali ili kuhakikisha usahili unakua wa haki.
wakuu janja janja PSRS ni kidogo tena za kibinadamu ,tusiwachukulie kirahisi sanaa
Hela ya kujikimu siku hizi wanatoa siku 7 tu na kila siku ni sh. 100,000/=. Hiyo ndiyo ya uhakika. Mwajiri akiwa fair zaidi anakupa pesa ya kusafirishia mizigo tani mbili na nusu pamoja na nauli yak na familia kama unayo!!wajuzi watafafanua.
namalizia ,jamaa aka conclude usiombe umepangiwa halmashauri pesa ya kujikimu utaiandikia madai even after six month ndio wanakuja kukulipa(baadhi ya halmashauri)