HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kigezo cha umri kinaangaliwa.

Kama umemaliza zamani, lazima utakuwa na umri mkubwa.

Ukipata tu marks za kufaulu Oral, utakuwa kwenye probability kubwa ya kupata nafasi
Umri sio kumaliza zamani mkuu.
Wale hawadili na mwaka wa kumaliza chuo.. Ila mwenye Umri mkubwa tu wanam-favor ili awahi kutumikia ndani ya utumishi wa Umma..

Hii naonaga hata kwenye zile Ajira ya Afya na elimu,, wale wa miaka ya mingi wanawapa kipaumbele
 
Mimi Huwa naanzai primary dadeq Hadi chuo kikuu.. kingereza Sina kabisa na hizi hili combi langu na kozi yangu, hata panel inaelewa😂😂
Daah, haya makombi magumu magumu shida, kuna mdada huwa tunakutana Kanisani, anapiga ngeli tena ile accent ya scotish kule.

Huwa nasema moyoni tu, anipatie hiyo english siku za oral tu, kwakweli yupo fluent...
 
Watu mnaulizwa maswali then mnasema hamuwezi ku share ni jinsi gani inaonesha ubinafsi..kwasababu ayo maswali ujaitwa peke yako hio privacy mpaka kwenye maswali..halooo acheni ubinafsi,usitaje kada,tuna swali lililo general tu sio kada yako

Kwani ni lazima? Huyo kijana ana maadili mazuri ningekuwa huko psrs ningemuajiri, humu watu mtaweza kutunza usiri kwenye kazi zenu kweli?
 
Niwe muwazi

leo nimefanya Oral serikalini kwa mara ya 1

Kama nikijirate

Confidence [emoji3581]
Apperance [emoji3581]
(japo sijui kama wanaangalia maana walienda direct kwenye maswali)

Maswali
1[emoji3581]
2[emoji3581]
3[emoji3581]
4 [emoji777]


Nimekandwa swali moja

it was interesting na kama sitapata hii itakuwa mara yangu ya mwisho kufanya Interview za utumishi nimezeeka.
Andaa suti ya kufatia barua hiyo ushapata.
 
Back
Top Bottom