HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Happy valentines kwenu ndugu zangu😊#kumekucha #msisahau kuendelea kujiandaa kama tulivyoshauriwa na Utumishi😂
🌚🌚🌚, hao jamaa nao wanaa, wanasema fahamu programu yako na usikariri.

Ila maswali wanayoleta sasa ni mitego tu ya kunasa nyoka aina ya black mamba.
 
Nakuwa busy tu na biashara zangu, nmeamua kuwa more serious. Huko kwa taasisi kuninyakua ikitokea ntaangalia[emoji3]
Learned sister vipi hali, nahitaji affidavit, sema nipo mwanza, majina yangu yapo shaghala-bhagala.

Nataka majina ya nida na certificate niyakubali yote kwa saizi, au inabidi kiapo kiandaliwaje? Nisijetimuliwa na Mzee Kitenge, Othman.
 
Watu mnaulizwa maswali then mnasema hamuwezi ku share ni jinsi gani inaonesha ubinafsi..kwasababu ayo maswali ujaitwa peke yako hio privacy mpaka kwenye maswali..halooo acheni ubinafsi,usitaje kada,tuna swali lililo general tu sio kada yako
Kuna sababu ya msingi sana sorry
 
Hii PDF itachukua muda sana kutoka maana hata vile vimweku mweku vya New havijapungua bado. Ukiona vile vimepungua basi jua mkeka upo njiani
 
S
Itakuwa maswali yanajirudia rudia kwahyo mtu akiweka hapa we utapata zaidi wakati mwenzio yalimchenga, cha muhimu ushapata mwanga kidogo pambana na taaluma yako pamoja na Hilo introduce your self.

Umeeleweka mkuu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Halafu Kuna kitu nakiona humu na kiweza kupelekea watu kushindwa kuweka maswali wanayoulizwa huko kwenye Oral,
Kama mkuu huko juu alivyosema swali moja lilimchenga akiweka hapa hayo maswali wajuaji wanakuwa wengi na wanaanza kumbeza.

Hii issue ipo kama issue ya Status Kuna member humu alisema status za "Not" kitu fulani watu wanazo Ila kuzungumzia Hilo watu wanaogopa manenomaneno, mara umekandwa, ndoige, bb Jen by na maneno kama hayo.
 
Hii PDF itachukua muda sana kutoka maana hata vile vimweku mweku vya New havijapungua bado. Ukiona vile vimepungua basi jua mkeka upo njiani
Naona unatumia Kila mbinu Sasa, sijui ndo research zako hizo Ila tu kufahamu kijacho
 
Back
Top Bottom