HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hii inatokea sn nakumbuka Kwenye Written Interview sikujibu Swali Moja. Na nikajitoa kwenye Lists ya tunaoweza kuwakanda PSRS hata matokeo Sikuyawaza sn. Lkn Mungu akatenda Miujiza same scenario kwenye ORAL ss sijui kitatokea nini Swali la kwanza niliulizwa sikuweza kuelewa linataka nini niliomba warudie kusoma mpk mara 3 [emoji28][emoji28] arafu nikajikuta najibu bila Kujua najibu kitu gani sema nasubiri Miracles tu hapa
Daah pole yani the moment natoka mlango wa panel nikakumbuka majibu ya swali nilokandwa
 
Daah pole yani the moment natoka mlango wa panel nikakumbuka majibu ya swali nilokandwa
Kawaida Mi nachokiamin nikujitahidi kujibu Maswali yote Kwa namna unavyoelewa by de way Interview ilikuwa ni ya Kada yangu kidogo kuelewa Swali lilikuwa linataka nini ilikuwa kwa Asilimia kubwa sn sema kufikisha Points 5 ndy muziki nilioshindwa kuucheza.

Bt I feeling blessed nahisi Kabisa nipo Kwenye PDF zinazokuja Hapo Soon na hii kutokana na maneno ya PSRS kuwa Ifahamu Kada yako na sio Kukariri
 
Utaitwa mkuu
 
Huwa naamini kabla hatujaingia kwenye saili, tunaanza kuaply, kisha kuwa shortlisted, kufika eneo la usaili, kufaulu written na kufanya oral hizi hatua zote zina baraka zake tofautitofauti na kila mja sisi sote kuna mahala tumepangiwa tutafanya kazi kwa wakati fulani, kwahiyo tushukuru kwa kila hatua na Mungu ni mwema mpk tumefikia hatua hizo na kila hatua Mungu anampango wake kwetu tuendelee kuamini siku yetu yaja nasi kulitumikia taifa letu pendwa.
 
Kwa kwel Mungu humpa amtakae na ana mnyima amtakaye tumshukuru kwa kila jamboHuwa naamini kabla hatujaingia kwenye saili, tunaanza kuaply, kisha kuwa shortlisted, kufika eneo la usaili, kufaulu written na kufanya oral hizi hatua zote zina baraka zake tofautitofauti na kila mja sisi sote kuna mahala tumepangiwa tutafanya kazi kwa wakati fulani, kwahiyo tushukuru kwa kila hatua na Mungu ni mwema mpk tumefikia hatua hizo na kila hatua Mungu anampango wake kwetu tuendelee kuamini siku yetu yaja nasi kulitumikia taifa letu pendwa.
 
Huwa naamini kabla hatujaingia kwenye saili, tunaanza kuaply, kisha kuwa shortlisted, kufika eneo la usaili, kufaulu written na kufanya oral hizi hatua zote zina baraka zake tofautitofauti na kila mja sisi sote kuna mahala tumepangiwa tutafanya kazi kwa wakati fulani, kwahiyo tushukuru kwa kila hatua na Mungu ni mwema mpk tumefikia hatua hizo na kila hatua Mungu anampango wake kwetu tuendelee kuamini siku yetu yaja nasi kulitumikia taifa letu pendwa.
Amen
 
Niwe muwazi

leo nimefanya Oral serikalini kwa mara ya 1

Kama nikijirate

Confidence [emoji3581]
Apperance [emoji3581]
(japo sijui kama wanaangalia maana walienda direct kwenye maswali)

Maswali
1[emoji3581]
2[emoji3581]
3[emoji3581]
4 [emoji777]

Nimekandwa swali moja

it was interesting na kama sitapata hii itakuwa mara yangu ya mwisho kufanya Interview za utumishi nimezeeka.
Mkuu unaweza kugusia kidgo hayo maswali yalikuwaje?
 
Back
Top Bottom